Recent content by getmore

  1. G

    Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    Aah! yamekua hayo tena? Tuache chuki binafsi.
  2. G

    Connecting Dots: Kingunge kudhibiti taarifa ya hali ya Mwalimu UK 1999 na Urafiki wa ghafla na EL

    Utakua umeagizwa ww! Iwe mvua au jua,hamna rangi mtaacha ona.
  3. G

    John Mnyika acha kudharau elimu ya Tanzania

    Big up Mnyika. Uko sahihi 100%. Wanaokupinga ndio walewale.
  4. G

    Wabunge waliopoteza ndoto ya kurudi mjengoni!

    Chambiri-babati mji. Jitu Soni- babati mjini + Ndesamburo -Moshi mjini.
  5. G

    CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Amani iwe kwenu! Inashangaza sana yule aliyeitwa fisadi leo kuonekana msafi. Eti "tatizo lilikua mfumo". Hili nalo neno.
  6. G

    Siri nzito zilizovuja kutoka Team Lowasa hizi hapa

    Tupeni yanayojiri huko wadau. Hivi hiyo top 5 itatangazwa mda gani.
  7. G

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo lindi manispaa nije wilaya yoyote mkoa wa manyara.
  8. G

    Hii fomesheni ya W=1×3 ilifanya nihic nina upungufu wa nguvu za kiume

    Hii ni mbinu ya kuhalalisha uzinzi,ila nakushauri umweleze wife nae aweze chepuka ili akidhi haja yake.
  9. G

    Mshahara anaolipwa Mkwasa unaleta picha gani kwa Watanzania?

    Saaafi saana BON,piga hela usijali. Wanaokuonea wivu kama mleta mada wakajinyonge.
  10. G

    Makonda: Nimeajiri wanasheria saba, nawalipa 75% ya mshahara wangu

    Huu ndio mwaka wa uchaguzi..tutasikia mengi sana. Tatizo "cheap popularity".
  11. G

    Natangaza kugombea ubunge jimbo la KARATU...

    Acha ndoto za mchana.
  12. G

    Wenje awatuhumu wajumbe wa kundi la 201 kuhongwa!

    Upuuzi uko wapi hapo? Huwa hampendi ukweli nyinyi. Vipi kauli ya Nchemba?
  13. G

    CHADEMA na CUF waungana kipinga nyongeza ya posho bunge la katiba

    Aah!Yamekua hayo tena.Acha ushabiki wa vyama.
Back
Top Bottom