John Mnyika acha kudharau elimu ya Tanzania

John Mnyika acha kudharau elimu ya Tanzania

Ndio tatizo la democracy,usipokuwa mvumilivu unaporomosha tusi kwa upuuzi kama huu wa matusi kama haya wanayotoa wanasiasa
 
hivi elimu ya tanzania inafaida gani zaidi ya kujua kiingereza tu.
 
AMESEMA HIVII ....NAMNUKUU"


Hivi wewe Mnyika unajiona ni bora sana? Wewe umesoma Burundi?
View attachment 277139

Hivi kwa nini kuambiwa ukweli hamtaki mtoto anaingia kidato cha kwanza hajui kusoma wala kuandika, kamaliza form six utafikiri ndio kwanza yupo form 2 kwa utambuzi wake wa mambo mmoja wapo wewe sasa ndio useme kuna elimu hapo.
 
Kusoma TZ si kigezo cha elimu bora.Ni mtoto gani wa viongozi wako wa ccm na serikali yake wanasoma hapa bongo?why hawasomi bongo?Acha ujinga watu tuna hasira

Acha kujitoa ufahamu.
Lowasa mwanaye amesoma Udaktari Muhimbili University
Sumaye mwanaye amesoma Tosamaganga (Fm 5&6)
Kikwete binti yake amesoma udaktari Muhimbili university; pia kijana wake kasoma sheria UDSM
 
Wewe usomi wako umeisaidiaje taifa? Acha kupoint fingures. Tuanze na wewe

Nimefanya mengi sana ambayo siyo lazima wewe uyaone.Kwanza ni muadilifu katika kazi yangu,na nimehakikisha kile kidogo kinachotakiwa kufika kwa mlengwa ambaye ni Mtanzania maskini kinafika.

Hayo ni kwa machache,na hii ni kwa elimu yangu ndogo siyo ya Uprofessa upo????

Na unapoangalia wasomi,unawaangalia wale ambao wamepewa nafasi ya kulitumikia Taifa kwa ngazi ya uongozi,sijapata bado nafasi ya kulitumikia Taifa katika nafasi ya Uongozi,lakini kwa kiwango changu ninahakikisha hikikidogo nilichonacho kinawafaidisha watanzania wa kawaida
 
Huyu nae alijifanya anaumwa kale kamshiko ka mamvi kamemtoa chaka kanapiga kelele lazima utanyooka tu kibamba
 
Post ya mnyika ni nyepesi sana kuielewa,tatizo joto la uchaguzi lipo juu sana kila mtu amepanic.
 
Nimemuelewa nilivyomuelewa mm na ninajua kuna mtu anamlenga
 
Post ya mnyika ni nyepesi sana kuielewa,tatizo joto la uchaguzi lipo juu sana kila mtu amepanic.

Afadhari wewe umeliona hilo. Watu wanaingiza UNAZI kwenye mambo ya msingi
 
Nimemuelewa nilivyomuelewa Mimi yupo sahihi, na kwa upande mwingine nahc labda kuna mtu amemlenga,
 
Hili lilikuwa Bango kwa Prof. Lipumba
Jameni muwe mnachanganya na zenu! Sio kukenua meno tu kwenye picha/mandishi!
 
Sasa kama wamesoma udaktari muhimbili mbona hawajaelimika hadi leo wagonjwa bado wanapelekwa nje ya nchi wakiwemo viongozi hii imekaaje kama siyo elimu duni
 
Back
Top Bottom