Sasa kama kila viongozi wa africa wanawatafutia watu wao kuja kuwekeza Tanzania tu. je na sisi viongozi wetu wanatutafutia chances za kwenda kuwekeza uko nje ya nchi? kama hapo kwenye kilimo hasa kwa nchi kama Congo mimi naona kama sisi ndio ilibidi tukawekeze kule kwa kilimo mana wana ardhi...
kuhusu Kenya jamaa Wana maisha magumu nawajua nishafanya nao kazi sehemu 2 tofauti hapa TZ, wanakuja wakiwa wamechooka wanakuja kurudi ujana wakiwa uku TZ inshort Bongo tunaishi vizuri huwa adi wakishangaa mtu akiacha kazi for no reasons tuka note kuwa kwao mtu akiacha kazi ni kazi hata kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.