Recent content by GERVAS MILEHE

  1. G

    JamiiForums Tanzania Unafiki, uzandiki na undumilakuwili wa CCM

    Kwan kuna tatizo gan kuwa na serikal 3? kwa mtazamo wako,tunatumia mfumo gan kwa sasa? usinambie kwamba tuna serkal 1,huo ni uongo! huwez kuwa na serkal 1 yenye marais wawili! na huwez kuwa na serkal 2,mojawapo ikawa na uwezo wa kuingilia mipango ya nyingine!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

    Ni jambo la kushangaza serkal hii kukurupuka na kufanya maamuz bila kutumia busara! kwanza niwaeleze,hakuna asiependa kutoa kiwango hicho,lakin je,iweje wazir wa tamisem atoe sawa na mpiga debe wa manzese? kod hiyo,haitaishia mikon mwa watu wachache kama kawaida yao?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nini mustakabali wa siasa za Tanzania na vikundi vya "Wanamgambo" wa Vyama?

    EBHANAE,right ccm na serikal yake watakapoamua kukir na kutambua udhaif wao,hakuna tena chokochoko! maneno ulosema hapa,nakupa big-up,keep it up!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tendwa: Kwa hili la Red Brigade, Nitaifuta CHADEMA!

    Umesahau,mwanza ni wachaga? kigoma ni wachaga? Yaan kichapo cha madiwan tayar mmeanza kuwwseka namna hyo? ngoja nikwambie. km ccm wangekuwa mstar wa mbele ktk kukemea maovu,haya yasingetokea! YEYOTE ALIE NYUMA YA CCM,HANA AKIL AMA NI FISAD,,,!
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mkapa: Wapinzani bado ni wachanga kuwapa Ikulu!

    We naww vp? unajua sana alikuwa na maana ya BULYANKULU,unauliza km hujui et? kwan nikisema,"CHAMA CHA MAJAMBAZ",huwez kunielewa? au nawe MBWIGA wa cc maj?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Dhana ya bunge kushauri na kusimamia serikali inakinzana

    Nimekuelewa vizur sana,naomba uendelee kutoa darasa,huenda wakajua na kujirekebisha! kwa mtazamo wangu,wabunge wetu hawawez kufanya lolote! kwanza bunge lenyewe lina taswira ya kukomoana kt ya chama tawala na upinzan!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kutisha ujio marais/Obama: Zaidi ya Bilioni 8 zatumika!

    Itafika siku,watatoa hesabu za matumiz,wasijifanye kufukia mashimo kwa kuongeza kod kwenye lain za simu!
  8. G

    JamiiForums Tanzania CCM ikitumia ubabe kuwazuia watu hawa huo ndo utakua mwisho wake

    Mwanangu,hapo umegonga penyewe!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Lowassa unavyoyatesa makanisa

    unaweza kutuambia sababu 1,2,3 za lowwasa kujiuzulu? km alikuwa hana tuhuma,ni waz anawajua mafisad wenzake,mbona hakuwataja? ww hata umpende vip,watz wote wanajua lowasa FSD,hafai kuongoza hata nyumba 10!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Naipenda sana CHADEMA, Tatizo ni sera mbovu, vurugu na ugaidi

    "Watu wasio na doa la wiz,ujangir & ufisad,cku zote huhitajika!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Swali la Ijumaa: Hivi huu "utaifa" ni wa CHADEMA tu?

    "ajabu na kweli"
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mbowe Aombe Radhi Kukubali Mwaliko wa Dhifa ya Obama; Inadhoofisha Harakati za Kuiondoa CCM

    Tatizo la watanzania wachache,hawajui UPINZANI ni nn! upinzan c o vita,naomba ufahamu! upinzan nia yake ni kurekebisha!
  13. G

    JamiiForums Tanzania Majibu ya obama ya swali la yeye kutotembelea kenya

    Yeah,nijibu zuri sana!
  14. G

    JamiiForums Tanzania FBI kuhusika katika kuchuja viongozi watakaompokea Obama

    Zanzibar ni nchi nyinine,isubir mwaka kesho,atakuja tena! hiyo ziara ni kwa ajili ya TANGANYIKA!
Back
Top Bottom