Ngoja na mimi niitafute mkuu. So far nimeshuhudia operation nying za mossad and my favorite ni operation orchard, thunderbolt(entebe), na opera. Jamaa wamebarikiwa sio siri. They are the chosen ones.
A Palestinian terrorist who was wanted has being assasinated in the bulgarian embassy early today. Dont mess up with the mossad, they will get u wherever you are.
Hey,
I just downloaded WhatsApp Messenger on my Android.
It is a smartphone messenger which replaces SMS. This app even lets me send pictures, video and other multimedia!
WhatsApp Messenger is available for Android, iPhone, Nokia, Windows Phone and BlackBerry and there is no PIN or username...
Nimependa ulivyobrief with strong points. Ukizielezea operation zilizokua achived na mossad. Kuna latest operation inaitwa "operation orchad"...inadhihiridha how these guys are inteligent.
Mossad ilikua haijaanzishwa wakati wa hitler baada ya kugather katika nchi yao yaan israel ndo wakaanzisha mossad kwa nia ya kuwasaka wote waliohusika na holocust na maadui wengine wa ndan na popote duniani.
Tafadhali muheshimiwa waziri naomba uanze na kampuni ya halotel wafanyakazi wazawa tunanyanyasika sanaaaa. Hatuna mikataba inayoeleweka, mishahara kiduchu wakat kazi kubwa, hatupewi overtime wakat tunafanya kazi hadi usiku wa manane, hatupewi hata bima ya afya, tunatumia fedha zetu wenyewe...
Tafadhali muheshimiwa waziri naomba uanze na kampuni ya halotel wafanyakazi wazawa tunanyanyasika sana.
1. Hatuna mikataba inayoeleweka
2. Mishahara kiduchu wakati kazi kubwa
3. Hatupewi overtime wakati tunafanya kazi hadi usiku wa manane
4. Hatupewi hata bima ya afya
5. Tunatumia fedha zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.