Recent content by GERERE

  1. GERERE

    Msaada: Registration number inakataa NACTE

    kuna mdogo wangu hilo limemkuta tupe aidea umefanyaje vzr tufanye
  2. GERERE

    Nahitaji namba ya mkuu wa chuo St. Augustine Institute of Health Sciences-Muheza

    hilo sio tawi la st augustine ndugu yangu hiki ni chuo cha waanglican sio waroma cha SAUT
  3. GERERE

    Nahitaji namba ya mkuu wa chuo St. Augustine Institute of Health Sciences-Muheza

    wana jamvi mwenye mawasiliano na chuo cha ST. AUGUSTINE INSTITUTE OF HEALTH SCIENCES-MUHEZA anisaidie nna shida nazo
  4. GERERE

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    hutakiwi kukata tamaa kuwa mjanja kutafuta siko la mayai yako ushafika hatua nzuri usirudi nyuma tafuta soko
  5. GERERE

    Nini maana ya Full Technician Certificate?

    sasa pale ukiwa unaomba nacte hawajaonesha kama umepitia certificate uweke sifa hiyo
  6. GERERE

    Nini maana ya Full Technician Certificate?

    Ndugu zangu ukiwa unaaply degree NACTE wameweka kigezo cha full technician certificate lkn mimi siielewi inamaanisha nini anaeilewa anisaidie ndugu zangu
  7. GERERE

    Amebarikiwa yule aliye na mwanaume wa aina hii kwenye mahusiano

    huyo yupo mbonguni pemben anaimba wanawake wa siku hz ukimfanyia hvyo atakukomesha had utakoma coz mnadharau bora tuwe makanjwenjwe
  8. GERERE

    Barua yangu kwenda TCU

    wachane kabisa haoo sijui prezidaaaa hawaoni awatumbue
  9. GERERE

    Kujua kuhusu ubora wa Toyota Noah

    samahan kwa hiyo engine inapiga lita moja kwa km ngapi?
  10. GERERE

    Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

    Sijawahi ona mwanamke akijisifia kutembea na wanaume kibao lkn hili li gigy mmmh limenishinda tabia harafu aonekana anapenda pesa tu kwa nay wa mitego kasanda
  11. GERERE

    Kujua kuhusu ubora wa Toyota Noah

    asante sana ndugu yangu nmeipenda sana
  12. GERERE

    Kujua kuhusu ubora wa Toyota Noah

    manosa @ vipi ubora wa gari hii noah unauonaje?
  13. GERERE

    Kujua kuhusu ubora wa Toyota Noah

    nazungumzia old model lkn unaweza nishauri mkuu ipi bora kwa vijana
  14. GERERE

    Kujua kuhusu ubora wa Toyota Noah

    asante sana umenisaidia
Back
Top Bottom