Recent content by geraldamani

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaopenda Uchoraji

    Ahhsante mkuu yanii haikupita lisaa nkairudia hii post ... Naomba tuchekiane kwa namba za simu labda watsapp Itakua powa zaidi tutashare ideas kwa ukaribu zaidi my no Ni hii hapa ....+91 810 516 3094 anytime am available don't hesitate pia naomba ur no. If possible
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaopenda Uchoraji

    jamani am also an artist .....nawaunga mkono all my fellows wanaokubali art....na wanao do art...nipo kwenye hili game sema nipo too quiet ....pilika za masomo zanisumbua....but big up saana to idris napenda his works...but inabidi..a advance kwenye colours cause they reveal the reality ...of...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa watanzania wote wenye ndoto za kusoma nje ya nchi

    I dont think its right to discourage..the...business you are doing..keeep advertising no matter how people think about yu ...i know mnasaidia watu kupata elimu...nd at the same time..they have to pay yu back for your services ...nyc job pide 89 ....
  4. G

    JamiiForums Tanzania Simulate electronic circuits kwa kutumia YENKA

    daaah wajombaa ahsanteni mno hzi ngoma zinasaidia sana kwenye ku test na ku design idea zangu
  5. G

    JamiiForums Tanzania Simulate electronic circuits kwa kutumia YENKA

    Mjmba mbna bado n trial version where can i get a full version ya ku download
  6. G

    JamiiForums Tanzania Simulate electronic circuits kwa kutumia YENKA

    kwa wale affiliates wa mambo ya electronics .... naombeni kushare na nyinyi software inayoitwa YENKA ambayo ina weza ku simulate electronic circuits na kuzitest kama zinafanya kazi au hazitafanya kazi iwapo utazi create in reality. Vile vile itaweza kuonyesha kama circuit yako ita blow off...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Msaada Jinsi ya kupata antivirus

    wakuu naombeni msaada wa link ya kudownload Kaspersky antivirus 2014 au antivirus yoyote nzuri yenye activation keys kabisa
  8. G

    JamiiForums Tanzania Project Adam, Artificial intelligence

    daah yaani umeshanipa bonge la mwanga chief, kumbe u mean siri in iphone is an also an example daah hyo nowma its one of the things that inanfanya niikubali iphone
  9. G

    JamiiForums Tanzania Project Adam, Artificial intelligence

    AHH mkuu nshaigoogle hyo, kumbe its just a recognition system smarter than any other .....kwenye hyo syt yao they said it could differentiate breeds of dogs only by just seeing them, n nowma sana
  10. G

    JamiiForums Tanzania Project Adam, Artificial intelligence

    daah mambo gani tena haya embu tueeelezeeni hata intro tupate mwanga
  11. G

    JamiiForums Tanzania natafuta game ya Battlefield 3

    daah aisee ahsante saana mwl. wa ukwee
  12. G

    JamiiForums Tanzania natafuta game ya Battlefield 3

    Natafuta mtu mwenye Battlefield 3 naomba msaada wenu wakuu ,pia hata best link ya kuidownload hiyo game itansaidia
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nimesahau password ya laptop yangu

    Du uh mshndo nyuma tena hyo n nwma
  14. G

    JamiiForums Tanzania PC maalum kwa ajili ya game inauzwa

    Kuna mashne yaitwa alienware mze du u hav o ne
  15. G

    JamiiForums Tanzania alizeti

    natafuta soko la mafuta ya alizeti
Back
Top Bottom