mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,198
- 9,014
Sasa hata kama nimeiba inawahusu nini nyie kama sio viherehere.Kama mnajua nisaidieni kama hamjui pigeni kimya.
Inatuhusu sababu umetangaza kwenye huu uwanja wa wote,mbona hujasahau password ya ATM card