Recent content by GER

  1. GER

    JamiiForums Tanzania Ukiona mtaani Gari zimeandikwa katika Plate Number kama ifuatavyo usiumize kichwa

    Duh kweli nilikuwa sijui
  2. GER

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote (Idara ya sekondari)
  3. GER

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Ludewa jirani na Songea. Mimi nije Bagamoyo
  4. GER

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

    Suala la degree 4 na fasihi hakuna uhusiano, kama hataki kushauriwa basi asimamie wizara yake anavyotaka bila kufuata miongozo
  5. GER

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo ht siujui jina watu wanaimba harafu wanaanguka chini.
  6. GER

    JamiiForums Tanzania Msaada wa material ya History 1 & 2 na General Studies

    Wakuu naomba msaada wa material ya History na G.S kwa yeyote aliyenayo, iwe past paper, notes au vitabu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. GER

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya viboko mashuleni ifutwe; walimu wameshindwa kufuata Sheria ya utoaji wa adhabu

    Kuwaita walimu watovu wa nidham ni kuwadhalilisha hata wazazi wako. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. GER

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari wapendwa Njoo Njombe - Ludewa, mimi nije Makambako, Mafinga au Iringa (Idara ya sekondari). Mawasiliano: 0654425007 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. GER

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Wazo hili ni zuri, kikubwa ni kuelekezana kwa kina zaidi nini cha kufanya ili kuhakikisha tunapata chance za masomo.
  10. GER

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari wapendwa Njoo Njombe - Ludewa, mimi nije Makambako, Mafinga au Iringa (Idara ya sekondari). Mawasiliano: 0654425007
  11. GER

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Wa Kufundisha General Studies Anahitajika

    Kwanini
  12. GER

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Wa Kufundisha General Studies Anahitajika

    Mimi ni mwanafunzi ninayejisomea masomo binafsi kwa ajili ya maandalizi ya mtihani wa kidato cha sita. Naomba mwalimu yeyote aliye tayari kunifundisha General Studies anitumie sms INBOX ili tuweze kuzungumza.
  13. GER

    JamiiForums Tanzania Walimu wanavyohamishwa sekondari kwenda msingi ni uonevu na ukiukwaji haki kila Mtanzania anapaswa kuulani

    Tufanye kazi hii ndio serikali yetu, huenda ikawa na malengo mazuri ya baadae.
  14. GER

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu mbet inasumbua sana kwa upande wa huku kwetu, vp huko kwenu?
  15. GER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Roho ya kukataliwa: Chanzo/asili na madhila yake

    Naomba kufahamu zaidi kuhusiana na hiyo tiba ya chumvi mkuu?
Back
Top Bottom