Recent content by georgesimon

  1. georgesimon

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

    Kila mtu ana starehe zake mwenye pesa muda mwingi anatumia pesa kama starehe lakini maskini starehe yetu kubwa ni tendo la ndoa ndiyo maana tunakuwa na watoto wengi tu!
  2. georgesimon

    JamiiForums Tanzania Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    si mlikuwa mlikuwa mnasema oo mafuriko oo tsunami oo garika kumbe watu wenu wengi ni wapiga debe! mabadiliko ya kweli yamefanywa na watu wa mwanza,simiyu,shinyanga,tabora kwa kutoa ukiwa
  3. georgesimon

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya wanachama wa CHADEMA wampokea Dr. Magufuli na kujiunga na CCM

    Hapa kazi tu.
  4. georgesimon

    JamiiForums Tanzania Ninani anayebisha kuwa Lowassa sio rais?

    hata siku moja lowasa hawezi kuwa rais upende, usipende magufuli is our president 2015-2025
  5. georgesimon

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/UKAWA kuzindua kampeni tarehe 29 Agosti, 2015 Jangwani

    Wanakuja kuangalia upepo power!
  6. georgesimon

    JamiiForums Tanzania Magufuli aiteka Mbeya, UKAWA bye bye!

    Acha uongo utaisoma namba!
  7. georgesimon

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Mtaisoma namba wa UKAWA! Hapa kazi tu!
  8. georgesimon

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu wengi wanaoiunga mkono CCM, ni wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania

    Wapendwa tuombeeni taifa letu.
  9. georgesimon

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu wengi wanaoiunga mkono CCM, ni wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania

    Toeni post za busara wengine mtabeba laana bure! ombeni kwa MUNGU ili tuchague kiongozi anayetufaa na si ushabiki kwani wote wanaohama kwenda ukawa hatujui kusudio lao la kuhama! cha kufanya ni kuombea uchaguzi. dunia hapa na watanzania hawa mwenye kiu ya kuwasaidia watu ni wachache sana! kwani...
  10. georgesimon

    JamiiForums Tanzania Magufuli na ikulu

    MUNGU tuonyeshe kiongozi bora na maneno ya watu wajukwaani ili nchi hii ya TANZANIA ipate maendeleo kiroho, kiuchumi, kielimu n.k
  11. georgesimon

    JamiiForums Tanzania Paul Mzindakaya, Chegeni na siasa za maji taka Busega

    Huo ni ushabiki tu.
  12. georgesimon

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Kamani kweli kashindwa?
  13. georgesimon

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Hivi jimbo la busega matokeo yakoje?
  14. georgesimon

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Matokeo ya busega
Back
Top Bottom