Hongera sana kijana! Majibu yako yalikuwa mazuri sana, ila jamaa ndiyo mpumbavu km ataendelea kuwa na huyo demu. Pia nakupa pole kwa ku-share mapenzi ya kinyaa kwa miaka miwili bila ya ww kujijua. Huenda huyo demu pia anajiuza maana km ni muungwana asingefanya hivyo. Kaukuingiza kwenye mtandao...
Jamani huko kwa wahaya kuna matatizo gani?
Hii hadithi ya kweli inafanana na ya rafiki yangu wa karibu sana. Alioa mhaya wana mtoto mmoja wakike, alipoenda kusoma USA akaenda nao.
Shemeji yangu huyo alimsaliti jamaa akawa yupo kimapenzi na Mmarekani mweusi. Akamshitaki jamaa kuwa huwa...
You already have an activator "demu mnyarwanda". Based on your decision, a CHAIN REACTION will start once you share the Bich with your brother. Km unataka kufa na ufe na kaka yako!
Kuwa mwanaume kijana! Suppose, umejiandaa kwenda kazini halafu yy hapohapo anazimia? Utakuwa unasubiri azinduke? Wastage of time! Ana ndugu zake let them care for her!:angry:
Please please! Huo ukoo una matatizo! Kwa nn unataka kujitwisha matatizo hayo? Nakushauri achana nae, tafuta msichana mwingine tulioko pwani tunayajua matatizo hayo. Utakuja kujuta maisha yako yote!
Nakusifu sana kwa haya uliyoyasema. Huyu mwenye thread hii hajaisoma katiba vizuri na ajiulize kero za watu ktk nchi hii ni zipi? Hivi mm watoto wangu wakivaa hijab na km hawapati mahitaji muhimu km shuke, hospital, nk kwa sababu ya mgawanyo mbaya wa rasilimali itanisaidia nn? Haya yote...
Siisifii hata kidogo hiyo ofisi! Kwani hapa mjini zipo nyingi tu.
Gharama ya kukodi ofisi hiyo kwa mwaka, inatosha kujenga ofisi nzuri hukohuko Bumbuli. Ofisi hiyo ingependezesha kijijini kwake na watu wangemfikia kiurahisi.
Je, asipopata ubunge hiyo ofisi itakuwaje? Hawa jamaa...
Du huyu jamaa hajui alinenalo. Kusoma anajua, ila picha hajui kuangalia pia na komputa aliazima kwa jirani yake hivyo alikuwa an haraka apost nn? Ili watu tujue kuwa nae anaweza kutmia computa. Mimi naomba awe blocked ili asiendelee kupost utumbo wake humu. Rabbish!!! CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
Hivi jamani huyu ni Malicela aliishi USA? Kwa mtazamo wangu hoja zake zote ni baseless na sidhani km ana uelewa wa kimataifa na sheria kwa ujumla. Km atakuwa kiongozi ktk nchi hii ni walewale km Wakina Dr. Kigwangala ambaye anafikiri ni chama ndicho kimempa ubunge na siyo sisi wapiga kura wake.
Hivi jamani huyu ni Malicela aliishi USA? Kwa mtazamo wangu hoja zake zote ni baseless na sidhani km ana uelewa wa kimataifa na sheria kwa ujumla. Km atakuwa kiongozi ktk nchi hii ni walewale km Wakina Dr. Kigwangala ambaye anafikiri ni chama ndicho kimempa ubunge na siyo sisi wapiga kura wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.