Recent content by georgemwaipungu

  1. georgemwaipungu

    Dark days 17/03/20

    Huu ni ukweli kabisa ila Mimi Niko pale Msoga nimekaa nasubili kifuatacho ITV
  2. georgemwaipungu

    Peter Madeleka Ametekwa Leo yapata siku ya tatu na inajulikana kuwa waliomteka ni Polisi

    Je? KUTEKWA NA VYOMBO VYETU VYA USALAMA KWA WAKILI PETER MADELEKA KUNATUFUKIRISHA KWELI AU TUMEKUWA NI WATU WENYE ROHO MBAYA? PETER MADELEKA Ametekwa Leo yapata siku ya tatu na inajulikana kuwa waliomteka ni Police wakishirikiana na Idara zingine za USALAMA lakini watanzania wote tumekaa kimya...
  3. georgemwaipungu

    Hivi tungekodi kampuni ya Uingereza kuchunguza makinikia tungejua tulichojua?

    Mimi nakuuliza makinikia yako wapi? Au tumepata kiasi gani kutokana na Makinikia?
  4. georgemwaipungu

    Waziri Kamwelwe asema atawaweka ndani wote wanaohoji ajiuzulu kutokana na MV Nyerere kuzama

    ukiona waziri anatishia nyau ujue amechungulia shimo. sasa mimi najiuliza kwanini asijiudhuru au njaa kali?
  5. georgemwaipungu

    Yanayotokea Tanzania: Dola inafuata nyayo za Ethiopia!

    this is true according to what has been happened in African continental
  6. georgemwaipungu

    Headmistress Honorata Ruhumbika: Enzi uko Pamba secondary unamkumbuka DAB?

    Alikuwa analiwa ndiyo maana anakumbukwa
  7. georgemwaipungu

    CHADEMA na hekaya za abunuasi

    Hata Nape alitishiwa toi
  8. georgemwaipungu

    CHADEMA na hekaya za abunuasi

    Mbona husemi tukio la kuvamiwa studio nabunduki pamoja kutaka kuuwawa Nape lilipangwa na nani?
  9. georgemwaipungu

    Lazaro Nyalandu: Upuuzeni upotoshaji unaoenezwa mitandaoni

    Sasa mhe. Hapo unachafuka wapi?
  10. georgemwaipungu

    Ni sahihi kwa mbunge kuinanga serikali yake akiwa nchi jirani?

    Hakuna kizuwizi chochote cha kuiambia ukweli Serikali ukweli
  11. georgemwaipungu

    Lazaro Nyalandu: Tunawaomba wanasingida na watanzania wote tuendelee kuchangia gharama za matibabu ya Tundu Lissu

    Huyu ni binadamu wa kweli kuliko Magufuli anayetaka kuombewa wakati hakuna cha maana anachofanya
Back
Top Bottom