CHADEMA na hekaya za abunuasi

CHADEMA na hekaya za abunuasi

Sisiemu hawana jipya zaidi ya kujamba ushuzi wa ngomani tu. Maana mjambaji wa ngomani huwa hajulikani. Anajamba na kupotea. Shubamiiit!
 
CCM na serekali yake Lissu kashambuliwa na watu wasiojulikana,Ben katekwa na watu wasiojulikana,maiti wanaokotwa kwenye viroba ni binadamu waliouawa na watu wasiojulikana.

Sijui kama CCM na serekali yake wanajijua wao ni akina nani.
 
Lissu hajawahi na hatakuwa kuwa tishio kwa serikali ya JPM. Ila ni tishio kwa wenye chama chao kutoka Kaskazini. Lissu ni tishio kwa Mwenyekiti Chadema Taifa. Lissu ni tishio kubwa kwa yule mzee aliepewa hati miliki ya kugombea Urais 2015 na 2020. Ndiyo walitaka kutumia kivuli cha serikali ya Magufuli kumuua Lissu ili waseme serikali imemuua. Kwa hili mmekwama. Mngetaka wachunguzi wa nje basi mngeoomba pia wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe.
Kumaliza utata wote waje wachunguzi wa nje ibainike kigugumizi na kipinganizi cha nini, km si tishio kwa nn alikuwa akiwekwa ndani kila mara
 
TUKIO LA LISSU LILIPANGWA NA CHADEMA KWA AJILI YA KUJA NA AGENDA YA KUTISHIWA MAISHA

Joshua Nassari – Nafuatiliwa na watu wasiojulikana , maisha yangu yapo shakani

Godbless Lema – Gari Langu limefunguliwa nati za matairi yote manne wakati linatembea, Maisha yangu yapo shakani.

John Heche – Natishiwa maisha yangu na watu wasiojulikana, maisha yangu yapo hatarini

Ester Bulaya – Nafuatiliwa na watu waliovalia kininja, Maisha yangu yapo hatarini

CHADEMA ACHENI KUCHONGA KINYAGO ILI KUJITISHA WENYEWE.

[HASHTAG]#NCHI[/HASHTAG] IPO SALAMA – MAJALIWA KASSIM MAJALIWA (PM)
Naona unapiga sarakasi huku umevaa msuli na ndani hujavaa chochote! Ushauri wangu kwako, mpelekee Simon Sirro haya Maelezo yako! Yatawasaidia na mtapumua na hizi Albadiri zinazowatesa!
Otherwise, hongera kwa topic, hii lazima ilipwe 7000/ cash!
 
TUKIO LA LISSU LILIPANGWA NA CHADEMA KWA AJILI YA KUJA NA AGENDA YA KUTISHIWA MAISHA

Joshua Nassari – Nafuatiliwa na watu wasiojulikana , maisha yangu yapo shakani

Godbless Lema – Gari Langu limefunguliwa nati za matairi yote manne wakati linatembea, Maisha yangu yapo shakani.

John Heche – Natishiwa maisha yangu na watu wasiojulikana, maisha yangu yapo hatarini

Ester Bulaya – Nafuatiliwa na watu waliovalia kininja, Maisha yangu yapo hatarini

CHADEMA ACHENI KUCHONGA KINYAGO ILI KUJITISHA WENYEWE.

[HASHTAG]#NCHI[/HASHTAG] IPO SALAMA – MAJALIWA KASSIM MAJALIWA (PM)
Wanataka kiki tu hiyo ni kampeni ya Mwenyekiti wao kutoka Ufipa,bado yeye hatujamsikia kuwa anafutiliwa ,si ajabu nae akaja na ngonjera zake na kusema nae anafuatiliwa na watu waliovaa kanzu!Chadema bure kabsa.
 
Lissu hajawahi na hatakuwa kuwa tishio kwa serikali ya JPM. Ila ni tishio kwa wenye chama chao kutoka Kaskazini. Lissu ni tishio kwa Mwenyekiti Chadema Taifa. Lissu ni tishio kubwa kwa yule mzee aliepewa hati miliki ya kugombea Urais 2015 na 2020. Ndiyo walitaka kutumia kivuli cha serikali ya Magufuli kumuua Lissu ili waseme serikali imemuua. Kwa hili mmekwama. Mngetaka wachunguzi wa nje basi mngeoomba pia wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe.
kwamba chadema wanaua watu halafu serikali inawaacha wauane kwa sababu ni chama kimoja hebu fikiri upya uone kama uko sawa,wangwe kafa zaidi ya miaka kumi sasa lkn hakuna kiongozi wa cdm aliye kamatwa hadi sasa,lawama lzm ziende kwa serikali yenye jukumu la kuwalinda raia wote bila kujali itikadi zao, Utetezi usio na mashiko kama huu lzm upingwe kwa nguvu zote.
 
TUKIO LA LISSU LILIPANGWA NA CHADEMA KWA AJILI YA KUJA NA AGENDA YA KUTISHIWA MAISHA

Joshua Nassari – Nafuatiliwa na watu wasiojulikana , maisha yangu yapo shakani

Godbless Lema – Gari Langu limefunguliwa nati za matairi yote manne wakati linatembea, Maisha yangu yapo shakani.

John Heche – Natishiwa maisha yangu na watu wasiojulikana, maisha yangu yapo hatarini

Ester Bulaya – Nafuatiliwa na watu waliovalia kininja, Maisha yangu yapo hatarini

CHADEMA ACHENI KUCHONGA KINYAGO ILI KUJITISHA WENYEWE.

[HASHTAG]#NCHI[/HASHTAG] IPO SALAMA – MAJALIWA KASSIM MAJALIWA.
Ruhusuni mikutano ya vyama vya siasa!
 
FBI waje wamalize ubishi
 
Chadema sifa yenu kubwa ni uongo,unafiki na uzushi uliopitiliza pamoja na kutetea ufisadi na ukiukwaji wa sheria. Mmepoteza uhalali wa kuendekea kuambuliws kama chsms cha siasa.
Mobutu seseko alijenga uwanja wa ndege nyumbani kwake,sio wizi wa mali za umma?kununua madiwani sio wizi wa mali za umma?kuvunja katiba je sio kunajisi nchi?
 
Ile footage ya cctv camera ambayo lema alisema ataiangalia kuona aliyehusika katika kufungua nati alishaipata??
lema kafungua tairi mwenyewe,kaiweka gari chini.Gari iliochomoka tairi hata iwe spidi 10/h haiwezi kuwa kama vile
 
Mbona husemi tukio la kuvamiwa studio nabunduki pamoja kutaka kuuwawa Nape lilipangwa na nani?
 
Hv jamani tundu lissu sheria si anaijuaa??? Sasa ilikuaje alishindwa kwenda kutoa taarifa polisi kwamba yeye Kuna watu wanamfuatilia halafu yeye akaona bora aitishe mkutano na waandishi wa habari ndo kama yupo polisi... Mathalani ukija kwa hawa wengne na wao pia they still speaking on press conference but they didn't go to report polisi... Halafu baadae they blame the government.... Huhuhuhuuhuh
 
Ndiyo Maana ili kuwaumbua hawa Chadema leta timu kutoka mataifa mengine yafanye uchunguzi ili aibu iwashike nje ya hapo uzi huu ni porojo tu!!
 
Chadema sifa yenu kubwa ni uongo,unafiki na uzushi uliopitiliza pamoja na kutetea ufisadi na ukiukwaji wa sheria. Mmepoteza uhalali wa kuendekea kuambuliws kama chsms cha siasa.
Kwa akili yako kabisa na wewe unajiona umechangia mada
 
Hv jamani tundu lissu sheria si anaijuaa??? Sasa ilikuaje alishindwa kwenda kutoa taarifa polisi kwamba yeye Kuna watu wanamfuatilia halafu yeye akaona bora aitishe mkutano na waandishi wa habari ndo kama yupo polisi... Mathalani ukija kwa hawa wengne na wao pia they still speaking on press conference but they didn't go to report polisi... Halafu baadae they blame the government.... Huhuhuhuuhuh
Maandishi ya darasa la saba utayajua tu kiingereza cha kuunga unga
 
Mimi sadhani kuna mtu anayependa kubishanana watetezi wa ccm. Wananchi wote wa kawaida nadhani wana akili ya kujua ni nini kilitendeka kwenye case ya mgongwa sana Lissu. Tafadhali tuzidi kumwombea na tuache kumzunguzia mpaka hapo akipona.
 
Back
Top Bottom