Headmistress Honorata Ruhumbika: Enzi uko Pamba secondary unamkumbuka DAB?

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
17,112
18,507
Daud Albert Bashite alisoma Pamba secondary wakati wewe ni mkuu wa shule. Kwa sasa anazungumzwa sana na ni wakati wako kuthibitisha na jiandae tunakuja kuzungumza na wewe utupe mbivu na mbichi. Pia Crispina M Maranja nae tutamhoji.
CC: Emilian Kabote
John Makene Mkuu wa Chuo Nyegezi Wakati huo
Joel Ruhinda
Kametse
Etc
 
Hakuna uovu unaoweza kufichika mbele ya Mungu...
Na ukweli hujawahi shinda uongo...
 
Mwalimu mkuu wangu kipindi nasoma form 1 hanifahamu Leo hii umfuate na umuulize unamfahamu nanilii "son of a teacher" atakuambia hanikumbuki sababu wanafunzi lukuki wamepita kwake na niliwahi kukutane nae hata kuvuta taswira kashindwa na DAB kanipita madarasa

Huyo jamaa anapoteza muda na kutafuta kiki aandikwe kwenye magazeti
 
Weye ulikuwa katoro sana shuleni au ulikuwa hopeless tu. Kwa nini wengine wafahamike isipokuwa weye? Acha kulazimisha na kuwawekea walengwa waliokusudiwa kuhojiwa majibu unayoyadhania.
 
Mwalimu mkuu wangu kipindi nasoma form 1 hanifahamu Leo hii umfuate na umuulize unamfahamu nanilii "son of a teacher" atakuambia hanikumbuki sababu wanafunzi lukuki wamepita kwake na niliwahi kukutane nae hata kuvuta taswira kashindwa na DAB kanipita madarasa

Huyo jamaa anapoteza muda na kutafuta kiki aandikwe kwenye magazeti
Kwani record hazipo? Akienda yeyote shule ya msingi niliyohitimu miaka hiyo japo hatapata mkuu wangu na pengine anaweza pata hakuna hata mwalimu mmoja aliyewahi kunifundisha lakini atathibitishiwa kuwa nilisoma kwenye hiyo shule! Magufuli mbona anakumbukwa na waalimu wake?
Shule nyingi ambazo zimetoa watu mashuhuri na viongozi huwa zinajiona kuwa kweli zifundisha vijana wakafundishika...
Hakuna hata mkuu wa wilaya au mkoa au kiongozi yeyote ambaye shuke aliyopitia haijisifii kwa namna moja au nyingine....
Huyo atakayemkana DAB nafsi itamhukumu na ataonekana mwl kilaza na zwazwa sana, kama wewe ulivyo zwazwa kwa unavyowaza!
 
Mwalimu mkuu wangu kipindi nasoma form 1 hanifahamu Leo hii umfuate na umuulize unamfahamu nanilii "son of a teacher" atakuambia hanikumbuki sababu wanafunzi lukuki wamepita kwake na niliwahi kukutane nae hata kuvuta taswira kashindwa na DAB kanipita madarasa

Huyo jamaa anapoteza muda na kutafuta kiki aandikwe kwenye magazeti
Ndiyo maana mnaitwa mamarioo kutokana na tabia ozo. Fanya kazi acha kufuatilia visivyo kuhusu.
 
Back
Top Bottom