Recent content by george daudi

  1. G

    JamiiForums Tanzania wizara ya afya huku n kukomoana au!,!

    kwli bana kiwe k2 cha ukweli sio magumashi ya kila sku.haya ni maisha Apex
  2. G

    JamiiForums Tanzania wizara ya afya huku n kukomoana au!,!

    sna huhakika;;;geezle
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya na ustawi wa jamii!

    achen stress wakuu...kwa maelezo yao ya kina kuhusu point hiyo.kwa lugha yetu haya...ii) Waombaji wote watalipia fomu kwa sh. 15, 000/=. Risiti halisi ya Benki kwa ajili ya malipo haya, itawasilishwa pamoja na fomu za maombi. Kiasi hiki cha fedha hakitarejeshwa (Non refundable). (iii)Malipo...
  4. G

    JamiiForums Tanzania wizara ya afya huku n kukomoana au!,!

    msaada,,,,msaada wadau jinsi ya kupost thread vip nimechemka kabsa huku nina mambo makubwa mno..!
  5. G

    JamiiForums Tanzania wizara ya afya huku n kukomoana au!,!

    watu karibu tufukuzwe nyumban kwamba tumekula hela ya fees ile 15000...watujali bana..
  6. G

    JamiiForums Tanzania WARNING!! Kwa watumiaji wenzangu wa simu ya mkononi! Tar. 09/10/2012:

    msaada njins ya kupost thread................
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kama ulituma maombi wizara ya afya. Na km uko Dsm pia inakuhusu!

    kaka waryoba unauhakika huo?kwamba j3.. make imekuwa kama wimbo kwamba yanatoka kesho kesho...nihakikishie kaka..of couse web yao haifunguki!
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kusomea elimu ya afya hewani tayari!!! Ingia

    je!lin yanatoka rasmi haya majina ya wanafunzi waliochaguliwa vyuo vya afya kwa mwaka 2012/2013?mmake hata maandalizi watafanya muda gani?kama yamechelewa namna hii?...tupen tarehe...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kusomea elimu ya afya hewani tayari!!! Ingia

    kwa taarifa zao walisema tarehe 04/10/2012 lakin mpaka sasa hakuna hivi ni kwa nini wanakuwa watu ambao hawana msimamo?
Back
Top Bottom