wizara ya afya huku n kukomoana au!,!

Kaka sor,naomba kujua khs qualfcation za kusoma dploma na certficate ya medicn
 
Kaka sor,naomba kujua khs qualfcation za kusoma dploma na certficate ya medicn

peleka vyeti vya form four hakikisha umefaulu bios na chem bila kusahau maths na english pale wizarani ndo wanafanya hivyo..
 
web nying za tz wanapotaka ku-add kitu huwa wanazifunga kwanza ndo tunaambiwa ipo kwenye matengenezo, huenda itakapokua hewani itakua na majibu tayar
 
Nina B zote kwa masomo ya sayans olevel,naweza soma diploa?na chuo gan,ada ni kias gan?!
 
Nina B zote kwa masomo ya sayans olevel,naweza soma diploa?na chuo gan,ada ni kias gan?!

Kwa akili inayofanyakazi kuwa ikiwa una B's katika Physics, Chemistry, Biology na Basic Math's, basi ni wazi kuwa ulichaguliwa kwenda A level. Hata kama ni kwa ajali, si rahisi kuachwa mtu mwenye pass kama zako.

Kwa wewe kuomba/kutamani kusoma Diploma course kwasasa, binafsi inanipa picha kuwa A level ulizungusha.

Hata hivyo kushindwa hatua moja si mwisho wa maisha ama mafanikio.

Muhimu ni kuwa unaweza kuomba na kupata nafasi vyuo vyote vya Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii vyenye kutoa Diploma courses ambazo kigezo kimojawapo ni matokeo ya Kidato cha Nne.
Pia vyuo vya Ufundi na vile vya Kilimo ambavyo matokeo ya Kidato cha Nne ni kigezo cha kuchaguliwa.

Tembelea mtandao wa Wizara husika.
 
Back
Top Bottom