Recent content by geoph

  1. geoph

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kumbe sirudii kujitesa kwenda kwenye interview zao aise😁
  2. geoph

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hata kama hujui statistics utagundua tu hi abnormal variation ya data za matokeo, angalia namna ambavo top performers walivyo deviate from average score.... hapa ndo utagundua kuwa kulikuwa na home advantage kwa wanafunzi wa Mzumbe
  3. geoph

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shida sio idadi ya watu wanaochomoka shida ni maswali kuwa too personalized kwa graduates wa chuo husika kiasi kwamba itafika kipindi kila mtu atakuwa anaomba chuoni alipo graduate yeye tu
  4. geoph

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Maswali yalikuwa too personalized ni kama waliwatarget graduates wa Mzumbe na sio kupima general competence ya somo husika
  5. geoph

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Guys... jana nilifanya written interview kada ya Tutorial Assistant (Marketing) pale Mzumbe itoshe kusema sitaomba tena nafasi chuo kikitangaza nafasi bora niombe wakitangaza utumishi wenyewe 😄
  6. geoph

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kada gani mkuu? Alafu hawa jamaa wameweka tu kwenye account majina hawajatoa
  7. geoph

    JamiiForums Tanzania Hivi oral interview za serikali ni lazima kujibu maswali yote kwa ufasaha?

    Sikia mostly wanachukua marks zako za written wanajumlisha na za Oral then wanatafuta average ukiingia na marks za written ndogo sana inakuwa ngumu kucompete na walio score marks nzuri kwenye written
  8. geoph

    JamiiForums Tanzania Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau

    Oya deadline tarehe7 tu hapo unataka leo ujibiwe 😁 be a little patient
  9. geoph

    JamiiForums Tanzania Hivi yale majibu ya chatgpt ya paper ya tax management officer ii yalikua ya uongo?

    Hata sisi kule GBT tulifanya Pepa vizuri tu lkn hatuitwa oral kama ww so anything can happen buddy
  10. geoph

    JamiiForums Tanzania Wanahisabati toeni utata wa alama za ufaulu, majibu ya interview ya TRA

    Samahani hivi umesomea profession ndg yangu 😂😂
  11. geoph

    JamiiForums Tanzania Ni lini utumishi wataita watu waliofanya oral za MDAs & LGAs

    Acha ku-underestamate watu kwa 2m gross salary bob labda uwatishe hao wa tamisemi uko 🤣🤣
  12. geoph

    JamiiForums Tanzania Gaming board mko vizuri lakini maswali yenu ni magumu mno na panel yenu ina watu wengi afu makauzu

    Hawa gaming board nlifanya gaming inspector III paper ilikuwa nyeupe mchawi speed tu yani niko swali la pili naskia bado dakika 5 nadhani paper ililenga zaidi kupima speed 😢 😭
  13. geoph

    JamiiForums Tanzania Ni lini utumishi wataita watu waliofanya oral za MDAs & LGAs

    Sasa 2mil gross unaona nyingi eh 🤣🤣
  14. geoph

    JamiiForums Tanzania Advantages za Aviator Online Gaming over Forex Trading na Betting

    Hili amesha li-discount kwenye avarage time ambayo ndege ya aviator inapaa (30 seconds according to his observations) tatizo ni hyo Fibonachi formula naijua vizur sana ukiwa na capital ya million utarize na fall lkn eventually itakusaliti tu because of diminishing capital in the long run
  15. geoph

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi

    Kijana malengo ya kuomba kazi yanapaswa kuwa na manufaa kwa mwajiri wako na sio wewe jifunze kuandika burua vizur
Back
Top Bottom