Recent content by geofreyngaga

  1. geofreyngaga

    Unahitaji fundi ujenzi wa nyumba? Nipe kazi hiyo

    Makazi yangu Arusha,, hiyo nyumba ipo Tabora lkn kwa sasa nipo Dar. KARIBU 0652494919
  2. geofreyngaga

    Unahitaji fundi ujenzi wa nyumba? Nipe kazi hiyo

    Basi WhatsApp/call number hii hapa 0652494919 simu ziite. Tunafeli wapi ndugu zanguni?
  3. geofreyngaga

    Msaada tutani!!!

    Asante sana kwa ufafanyzi. Ukiachana na changamoto, unadhani ni mashine muhumu au sahihi kwa mtu wa ujenzi kua nayo? Sababu nafikiria kuinunua
  4. geofreyngaga

    Msaada tutani!!!

    Habari wana bodi Naomba uzoefu wenu kwa mtu yeyote aliewai tumia hii mashine winchi hasa kwenye kazi za kubebea zege. Aina gani nzuri, tani ngapi nzuri kwa ujenzi wetu wa wastani, matumizi yake kama kweli inafaa mtu wa ujenzi kua nayo au kama kuna lolote la ziada please share tufaidike sote...
  5. geofreyngaga

    Nilichoomba ndio kilichotokea, Simba anachukua KOMBE

    Mimi sio mchambuzi mzuri wa soka ila nachojua au kuamini ni ngumu sana kumfunga simba nyumbani na ukiangalia takwimu ni kama haiwezekani hata ndroo pia ngumu kwa timu ngeni. Kwa msingi huo nilikua naombea kama Simba itafungwa leo basi zisizidi zaidi ya goli 2 sbb simba inauwezo mkubwa wa...
  6. geofreyngaga

    Mfanyakazi wa Private mshahara milioni 12 anaenda kugombania kazi serikalini mshahara milioni 2, hiki ni nini kama sio ujinga ?

    Kuna wkt ili uweze kuelewa na kuamini kwann vitu flan vinatokea unabidi uyaishi hayo maisha vinginevyo utashangaa kama tunavyomshangaa huyu anaekimbia 12m na kufata 2m. Waliosema hela sio kila kitu hawakuwa wajinga na uhakika humu ndani JF wapo watu waliokimbia mishahara mikubwa na kufata midogo...
  7. geofreyngaga

    Vyumba vya kupangisha bajeti 30M

    Mkuu Ambrose Koller kila nikitaka kujibu swali lako nasita sbb sijui unataka nyumba ya flavour gani, hali ya kiwanja ikoje, kiko wapi na unalenga kuwapangisha watu wa class gani!! Mfano nyumba yenye King post 1m ni tofauti kabisa kabisa kwny gharama na ya king post 5m, kiwanja tambarare ni...
  8. geofreyngaga

    Msingi tu iwe 13m?! Huyu fundi mbona kama anataka kuleta za kiinjinia!

    OKW BOBAN SUNZU kama hutojali nichek kwa WhatsApp +255652494919 tufanyekazi. Nimetoka kumaliza kazi kama hiyo tabata chang'ombe japo ni ndogo kiasi ukilinganisha na yako
  9. geofreyngaga

    Biashara ya Dhahabu

    Hi! Guys Kuna task nimepewa, naomba kuuliza kuhusiana na vifaa vya uchimbaji wa dhahabu. 1.Cyclone ni nini nainafanya kazi gani migodini? 2. Air compressor ya piston 3 na 4 zina uwezo wa kutoa upepo wa bar ngapi kila moja? 3. Ball mill ya tani 3 kwa saa ni bora kuagiza za kichina au kuchonga...
  10. geofreyngaga

    Biashara ya Dhahabu

    Hi! Guys Nje ya mada kidogo. Kuna task nimepewa, naomba kuuliza kuhusiana na vifaa vya uchimbaji wa dhahabu. 1.Cyclone ni nini nainafanya kazi gani migodini? 2. Air compressor ya piston 3 na 4 zina uwezo wa kutoa upepo wa bar ngapi kila moja? 3. Ball mill ya tani 3 kwa saa ni bora kuagiza za...
  11. geofreyngaga

    Biashara ya madini

    Hi! Guys Kuna task nimepewa, naomba kuuliza kuhusiana na vifaa vya uchimbaji wa dhahabu. 1.Cyclone ni nini nainafanya kazi gani migodini? 2. Air compressor ya piston 3 na 4 zina uwezo wa kutoa upepo wa bar ngapi kila moja? 3. Ball mill ya tani 3 kwa saa ni bora kuagiza za kichina au kuchonga...
  12. geofreyngaga

    Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

    Hi! Guys Kuna task nimepewa, naomba kuuliza kuhusiana na vifaa vya uchimbaji wa dhahabu. 1.Cyclone ni nini nainafanya kazi gani migodini? 2. Air compressor ya piston 3 na 4 zina uwezo wa kutoa upepo wa bar ngapi kila moja? 3. Ball mill ya tani 3 kwa saa ni bora kuagiza za kichina au kuchonga...
  13. geofreyngaga

    Lugha gongana

    Natamani ku-share stories na watu wa Burundi na Rwanda lkn lugha shida kweli kweli! Tunafanyaje?
  14. geofreyngaga

    Solar power system KUUBWAA inauzwa

    Kwa load hiyo minimum masaa 12
Back
Top Bottom