Recent content by geofreymaseta

  1. G

    Magazeti ya tarehe 26.10.2015 yataandika

    TANZANIA DAIMA: yametimia Lowasa Rais awamu ya 5, jk ambia nchi
  2. G

    Happy Birthday Freeman Aikaeli Mbowe

    Hbd kamanda anga , mungu akupe afya njema na maisha marefu yenye ufanisi
  3. G

    Natafuta mbinu ya kumuona mchawi, nipeni utaalaamu

    Nenda sumbawanga wapo wataalam watakupatia dawa ambayo itakufanya hata anapoanza safar kutoka kwake kuja kukuloga unamuona
  4. G

    Kuvaa sare za vyama katika mikutano ya kampeni ni ufanisi au mapungufu?

    CCM..wanaogopa kuvaa sare zao..kwn wanazomewa mitaani
  5. G

    TCRA msiishie tu kuipa adhabu Magic FM geukeni pia kwa radio One Stereo kwani ni hatari sana

    Star tv ni ccm..damu damu..hilo halina ubishi, km vp nao waonywe taarifa nyingi wanapindisha hasa za wapinzani
  6. G

    Vichwa vya habari za magazeti baada ya Oct 25!

    Hatimaye yametia...unabii wa mwl umetimia,..ccm yasambaratika rasmi
  7. G

    CHADEMA: Kauli rasmi kuhusu yaliyotamkwa na Dr. Willibrod Slaa

    Ss tujibu nn, maana tumeshamjua fisadi ni nani, aliyefanya mkataba usivunjwe ndo fisadi..kama vip aje ajib
  8. G

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    watajuana huko huko, ss kikubwa kwetu ni mabadiliko kwanza m2 baadaye, km anaondoka tunamtakia safar njema huko aendako
  9. G

    Sababu 10 kwanini John Magufuli atashinda uchaguzi Mkuu wa Urais 2015

    Taja hayo majimbo ambayo ccm imepita free..acha kubwabwaja
  10. G

    Baadhi ya Maduka yamefungwa Songea Mjini

    Mbona povu linawatoka?_subirini dawa iwaingie nyie nyi nyiem
  11. G

    ACT-Wazalendo wafunika Iringa Mjini. Zitto Ampongeza Filikunjombe, Msigwa bado

    Kwanza zito mwenyewe kurudi bungeni itakuwa ndoto na yy hilo analijua
  12. G

    Lubuva: Matokeo yabandikwe nje ya kituo husika!

    Hii ndo kiboko ya akina nyinyiem, wanakonda ile mbaya saa hii
  13. G

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Vyovyote vile atakavyo amua dkt slaa ss hatutarudi nyuma hk ni kipindi cha mabadiliko , yeyote atakaekuwa kikwazo cha mabadiliko ni adui yetu hatutajali hapo kabla alifanya yapi..people's sss
  14. G

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Naamini CDM na Ukawa tumepitia mengi hata hili la dkt slaa kama kweli ameyakimbia mabadiliko..ss tunasonga mbele
Back
Top Bottom