endeleeni kuchagua hvyo hivyo , kwa utashi wangu nguvu ya kuchagua kwa mabinti inaishia kwenye kuchagua mchumba na cio mume ...! labda iwe bahati huyo mchumba uliemchagua aje kua mume ila cio mara zote ufikia huko
kumbe hii kitu inawezeka enhe..!
ahaa ndio maana yule mbunge aligusia suala kama hilo hapa Tz kipima upepo..! ila yeye alitaka 5+2 kwa mkulu aliyeshika hatamu sasa
Nisieleweke vibaya but ni mara nyingi wadada wenye mwonekano wa kuvutia vichwan ni shida..
Me mwenyewe nina single mother wangu kiukwel ananivutia sana kwa mwonekano , lakin mipango na malengo ni kama hana , yaan hadi unamlazimilisha mtu aje na wazo la biashara ili umwezeshe lakin bado ni...
Aisee hii ki2 ni ya ajabu sana , sema inategemea na kichwa chako kilivyo , coz kikiwa chepes basi fikra zutashindwa kuzihimili na hatimae unafanya mambo ya ajabu
Ila kma ikikukubali(ukawa na kichwa kizuri) basi hii kitu itakupa full meditation na utaweza ku-achieve mambo mengi ambayo...
Huyu dada ni moto sana , me namweka kati ya wanaojua sana hapaTz
Nackitika kwa waliombania promo redion coz najua kwa upande mwingne inakula na kwao pia
Speech nimaneno/mawazo yaliyopangiliwa yanayotoka kwenye kinywa cha mtu au yaliyo wasilishwa kwenye mfumo wa maandishi na hata audio , nia ni yawafikie watu wengne ili waweze kujifunza , kupongeza , kushauri na hata kukosoa.
Tukianza hapo , Freedoom of speech" ni hali ya kuwasilisha hayo mawazo...
Hii kazi kweli kweli ...
Aya ni matokeo ya ulee muswada wa habari
Ngoja tuone huko mbelen itavyokua but i ithink we 'll be the next Iran..
Namkumbuka Nash Mc a.k.a Zuzu , ngoja nimnukuu aliwah kusema hiv " Wanyonge wakichoka wanageuka wa-negative(-) " ha ha ha! hip hop mbele mbele kwa mbele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.