Recent content by General Pumba

  1. G

    JamiiForums Tanzania PSPF yashindwa kuwalipa wastaafu

    Halafu hizi ni fix na uache kutisha watu wewe kibarua Wa NSSF no research no right to say...fikiria kabla ya kukoment
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya 'Hapa Kazi Tu'

    kwa hiyo ww ulitaka nijiitaje?? Na umelazimishwa kukoment post ya mtu humu ndani,,embu acha tabia zako za uswahilini kwenu ww unijui wa sikujui kwahyo kua makin sio kila mtu wa kumletea upumbavu wako...SHENZIIII weee
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya 'Hapa Kazi Tu'

    watu wengine hawaelewi nini maana ya ustaarabu kwa hiyo ndugu yangu uyo usisumbuke nae kwa maana humu kila mtu ana uhuru wa kueleza anachotak
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya 'Hapa Kazi Tu'

    Habar zenu wanajamiii wenzangu nimekwama nilikua naomba msaada kwa anayejua kingerza cha HAPA KAZI TU,,,
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo na tiba kwa mwanamke mwenye hamu ya tendo ila hasikii ladha ya tendo?

    Mm nakushauri ungempeleka kwa dr.mwaka anaweza kumsaidia
  6. G

    JamiiForums Tanzania February:kwa nini kuna mwaka una siku 28 na mingine 29

    Habarini za muda huu wana jamii wenzangu........kuna kitu tangu ningali mdogo najiulizaga alafu sipati majibu kuhusu mfumo uliotumika kuundia kalenda,,Hivi kwanini kila mwaka mwezi wa pili(february) unakuwaga ni mfupi???
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ni nini siri ya tarehe 26?

    eee bwana umesahau ata muungano nao ni 26
Back
Top Bottom