Recent content by General Galadudu

  1. General Galadudu

    Mambo usiyoyafahamu kuhusu Ngamia

    Kuwachinja hao aisee sio zoezi jepesi hata kidogo, huwa kuna mbinde za kibabe usipojiangalia unakufa wewe mchinjaji
  2. General Galadudu

    Kama mume tahadhali usiache kumchunguza mke wako hasa kipindi cha ujana. Utanishukuru.

    Kwa mara nyingine tena team kataa ndoa wanaibuka na point 3 muhimu na ushindi mzito wa goli 3-1
  3. General Galadudu

    Kama una ndoto za kuanzisha biashara anza kwanza kutafuta wazo la biashara kabla ya mtaji au tafuta vyote kwa wakati mmoja

    Naweka kambi hapa kusikiliza mawazo tofauti tofauti, litakaloingia kwenye mfumo wangu naruka nalo
  4. General Galadudu

    LGE2024 Sirari: Hivi ndivyo Wagombea wa Chadema walivyorejesha Fomu za Kugombea Uenyekiti wa Serikali za Mitaa

    Kwa hiyo wamekubaliana kuwa tume iko vizuri na hakuna haja ya katiba tena, au inawezekana mi ndio mgumu wa kuelewa haya mambo
  5. General Galadudu

    LGE2024 Kura za Maoni za CCM ngumi zafumuka kila Mahali

    Watu wanalogana hadi kuuwana kabisa we unashangaa ngumi tu
  6. General Galadudu

    Swali la Wiki: Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?

    Eti Nyerere alivyokufa walishindwa kutangaza mapema kwa kuhofia vita itatokea 🤣🤣🤣🤣
  7. General Galadudu

    Je unajua mtaji wa Milioni 10 utatosha kufanya biashara gani mwaka 2025? Nimekuelezea

    Toa sh milioni 7 ilete huku kwenye ufugaji wa samaki kwa vizimba, utaanza na kizimba cha vifaranga vya samaki elfu 15 hadi elfu 17 aina ya Sato, kilo moja ya samaki ni sh elfu 7 baada ya miezi 6 kwa uchache unaweza kuvuna kuanzia tan 10 hadi tani 12
  8. General Galadudu

    Mambo 13 ya busara

    qumaniner 😂😂😂😂
  9. General Galadudu

    Picha: Wakili msomi Tundu Lissu akiwa na Mahakamani na mteja wake Askofu Mwanamapinduzi

    Ila jamaa pamoja na kuwa huwa simkubali kabisa lakini ana moyo sana wa kusaidia watu kwenye haya mambo ya kimahakama
  10. General Galadudu

    Dotto Magari: Nikimuona Mtu (hasa Mwanaume) anaendesha IST namdharau kwani namuona kama vile amekaa Chooni kwa jinsi anavyoiendesha

    Mkuu samahani naomba ka picha na mi niigilizie nikapimp haka ka Starlert kangu
Back
Top Bottom