President Samia alimweleza yule bwana CAG, taarifa zako ziwe wazi hasa za mashirika ya umma utayoleta. sio kuficha ficha.
bado hatujaelewa tu?
sisi wananchi ni haki yetu kujua muhstakabali wa mali zetu, serikali kama kuna mahala media wamezingua basi jambo la kwanza wakanushe kwa fact.
sio mambo...
mwanamke akiweza kuwa mtiifu kwa mume wake ndipo atapata mrejesho wa upendo. na kwa sababu wanaume tunaaswa kuishi kwa akili na wake zetu basi tunapaswa kuhakikisha tunaweka mazingira mazuri kupelekea utii.
lkn ukiona umefanya juhudi zote na bado hakuna mafanikio, basi ubadilike wewe.
Mara baada ya vita ya pili ya dunia, ujerumani ilipokwa makoloni yake ikiwemo tanzania na kupewa muingereza.
kipindi cha ukoloni kenya ikiwa milki kamili ya muingereza na tanzania ikiwa ni milki ya UN na uingereza alipewa kutuongoza tu maana tulikuwa bado hatuwezi kujitawala.
uingereza...
Sumu kuvu ipo kwenye mahindi yetu au haipo?
sababu ukisoma kuhusu kuvu ni kwamba inaweza kuzalishwa ama muda wa kuoteshwa, kuvuna, kuyachakata/kupuchua, utunzaji au yanaposafirishwa.
njia gani tutumie kuthibiti sumu kuvu, kwa sababu kama ina madhara itatuua au kutuathiri pia watanzania.
ndio...
tatizo watu tuna shauku kuona muovu yule kapata balaa, ila hakuna kuchelewa wala kuwahi muhimu ni kupambana na hali zetu
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
SUMUKUVU ni kemikali zinazozalishwa na aina za fangasi /ukungu/kuvu wanaoota kwenye punje za nafaka, mbegu za mafuta, mikunde na mazao ya mizizi
Mahindi na unga wake na karanga na bidhaa zake huathiriwa zaidi na sumukuvu. Mazao mengine ni korosho, muhogo, alizeti, mtama na mchele.
SUMUKUVU pia...
nafsi moja ndani yake kuna nafsi nyingi kinzani, ni vile kudinda tu maana hakuna tofauti baina ya ukweli na uongo, uovu na wema.
kila mtu akiendelea kulinda na kutetea maslahi yake kwa gharama ya kujitoa ufahamu
sisi waafrika lazima tujifunze kukabiliana na matatizo yetu kwa fikra zetu na njia zetu wenyewe.
hii corona haitoondoka, ipo na itaendelea kuwepo kwahiyo jambo la msingi kujielimisha vya kutosha ili tuwe na ufahamu mzuri kuhusu tiba uhusani za asili.
fusho tufanye lakini tuzingatie mambo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.