Ushauri niliiomba ni upande wa nondo.kwani nampango wa kusomba kiwandani kwa wakati m1..ndio maana nmeuliza tone 5.zitatosha mpk slab.maana ghorofa ni nondo.
Hbr wana JF,
Naomba kuuliza, natarajia kuanzisha ujenzi wa nyumba ya gorofa 1 yenye ukubwa wa 14mt x 15mt. Vyumba vinne juu chumba kimoja chenye ft 17.5x17ft
JE, tone 5 za nondo milimit 12, zinaweza kutosha mpk slab ya kubeba gorofa 1 iwapo tone 1 ya nondo nmeambiwa zinakaa 89.
Ardhi ipo...
Wazo zuri sana,nikweli mimi pia natamani kuwamo ndani ya taasisi ya upelelezi..kwan katika utafutaji wangu,madudu n mengi sana kiasi kwamba wahusika wanakua km hawaoni ama cjui vipi..taasisi za kiuepelezi zikundwa zitasaidia.mfano wala rushwa ,magendo ya utoroshwaji wa shehena mbalimbali Za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.