Recent content by Geneous3009

  1. G

    Wasomi wakutana Karimjee, waazimia kuifuta CHADEMA Vyuo Vikuu

    Kama tunaojiita wasomi tumefikia hatua ya kuropoka ka kuandika vitu visivyo na mantiki kama hii post bas hatufaidiki na elimu tunayopewa shuleni ama vyuoni maana post haioneshi strategies na wala haina order/logic of writing.... Natamani kufahamu mtoa post amesoma/anasoma chuo gani aisee...
  2. G

    Mikoa iliyo nyuma kwenye mwamko wa kisiasa na maendeleo yao yapo nyuma sana

    Ni ukweli uliowazi kwani hata mimi natokea mkoa wa Tabora vitu ni vururuvururu tu hakuna maendeleo ya kweli na huduma nzuri za kijamii,anayebisha athibitishe tu kwa haya mawili; 1/Miaka ya nyuma Tabora kulikuwa na hospitali ya Rufaa ambayo ni Kitete sasa imebaki jina tu na huduma za kirufaa...
  3. G

    Deo Kisandu akacha siasa

    Dah!Kaka yangu,ndugu yangu,swahiba wangu Mhe.Mwl.Deogratius Pio Kisandu... Hatimae yamekufika,ila kwa style hii ya uandishi wa press yako sijaipenda na wewe ni Mwl.wa sekondari tena mwenye degree ya Special Education mahili wa kiswahili,kama wewe umeshindwa kupangilia press yako,watoto wetu...
  4. G

    Dr. Bana, Kwa upinzani wako kwa CHADEMA, sasa tumejiandaa kuipinga ripoti ijayo ya REDET yako!

    I never and i'll never lose my time thinking and listening to a paper prof who is irrational and does not use his brain to out up the reality of things. Nilitamani siku moja nifundishwe na huyu prof ili nithibitishe upeo wake na taaruma yake aliyonayo bahati mbaya niko chuo kingine. Maana vitu...
  5. G

    Askofu Kakobe ataja vyama vya Kufutwa.

    Ndg,mchungaji...Siasa huziwezi,ongoza kondoo wako tu kwa njia zako za ki-Nigeria! Nahisi huipendi nchi yako maana hilo ndilo tumaini la watanzania maskini na wenye maisha magumu. Ambao kodi,migodi na rasilimali zao zimetumika na zinatumika na wakoloni uchwara na weusi wenye roho ngumu za...
  6. G

    Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    Tuamkeni na tuingie barabarani tudai haki yetu,ni wizi kila siku na kila sehemu,hey maisha gani haya jaman!?
  7. G

    Ilemela: Nguvu ya Umma yashinda Ubabe wa Jeshi la Polisi

    Mwanza hatuteteleki,tutapambana mpaka tone la mwisho na daima tuatasonga mbele. Peopleeeeeeeeeeeee's...
  8. G

    Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Wanaomshabikia Ni Malimbukeni,mambumbumbu Na Wasiojua Undani Wa Siasa Za El...Nawaonea Huruma.
  9. G

    Kwa uoga huu wa Polisi nakubaliana na Godbless Lema

    Hii ndo Tanzania..... Ahsante R.O.M.A kwa nyimbo hiyo!
  10. G

    Jamani Kwa Mtu Ajuaye Maeneo Haya,naomba Msaada.

    Waheshimiwa wanajf.Habari zenu,naomba kusaidiwa kwa yeyote ajuaye; 1.Ofisi za TAMWA-Mwanza. 2.Ofisi za TAMWA-Musoma. Basi aweke kwa kirefu mahali zilipo,si lazima ujue zote,ukiwa unafaham za Mwanza nielekeze ama za Musoma. Nitashukuru Sana Kwa Msaada Huo.
  11. G

    Wema Sepetu na maadili ya runinga zetu

    Ni kwl ndugu zangu,dah!....hicho kipindi ni full utupu!EATV mjali na maadili bas na sio pesa tu!
  12. G

    Wazazi wangu hawamtaki niliyenae

    Wanajf!ahsanteni sana ndugu zang kwa mashauri yenu kwani ni ya msingi na busara za hali ya juu nami nitafanya kila lililojema ktk haya yote,ahsanteni tena na nawapendeni nyote!
  13. G

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Shame on u nyamizi,we wajua nn juu ya sheria,kapambane nae sasa huko mahakaman kama wajiweza nawe tukuone!!! Chadema haijakiuka amri ya mahakama kwani huyo zzk bado hajavuliwa uanachama,ila kesi ikiisha kiama chake kitakuwa tayari!! VIVA CHADEMA Peopleeeeeeeeeeeeeee's
  14. G

    Hotuba ya mwigulu karimjee yawakuna wengi,amlipua mbowe

    Tangia iwe Dubai bas MWIGULU hana lingine,kufilisika kisiasa huku na ufinyu wa kufikiri na kujenga hoja kila kukicha!!
  15. G

    Hotuba ya mwigulu karimjee yawakuna wengi,amlipua mbowe

    Inashangaza sana kuona siasa imekosa eneo maalum la kuizungumza,kama msibani ni mkutadha maridhawa pa kuongea siasa,ayaseme ya KAPUYA,atuambie wasafirishaji wa pembe za ndovu na wauza madawa ya kulevya na mstakabali wa Tz na watanzania kimaisha chini ya uongozi wa CCM. Maisha yanazidi kuwa...
Back
Top Bottom