Recent content by GENDOW

  1. GENDOW

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

    Bunduki Kali toka kichwani kwa mtu makini, uzi umesimama huu mkuu
  2. GENDOW

    JamiiForums Tanzania Walimu jizuieni acheni kuwa ombaomba! Mnatia aibu

    Taarabu hizi, peleka kwenye jukwaa la muziki kule
  3. GENDOW

    JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi siku zake zinahesabika

    Kagame mnamtukuza mno.
  4. GENDOW

    JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi siku zake zinahesabika

    Madarasa zinanini mkuu
  5. GENDOW

    JamiiForums Tanzania Hongereni Uhamiaji Tanzania kwa 'Kutowabughudhi' Wamalawi (hasa Wanawake) wanaoingia 'Kiholela' Tanzania

    Umetumia kiwango chá juu , kiasi kwamba Sisi Magenious ndio tumekuelewa. This is that they so called Out of the box
  6. GENDOW

    JamiiForums Tanzania Hivi wanafunzi wengi wanaopata ufaulu mkubwa, huwa wanakwenda wapi?

    Mnafill aje...Ili vuma sana
  7. GENDOW

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea duniani baada ya vita ya 3 ya dunia ya nyuklia

    Wapigane tuu, hamna namna,
  8. GENDOW

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

    Kuhani umenena ukweli mtupu,
  9. GENDOW

    JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia kulikoni?

    Kwa tarifa tuu mleta maada" Rais ni Taasisi, haongozi nchi peke yake, anapofanya teuzi wakati mwingine analetewa majina na wataalamu wake wengine hata hawajui sana, lakini kwakuwa anao watu wenye weledi pale Ikulu, watu hao sio Islam peke yao, wapo pia christian, lakini pia anao wataalamu kutoka...
  10. GENDOW

    JamiiForums Tanzania Bahati katika maisha inakuja vipi? Au kuna formula? Karibu kwa mjadala

    Umeongea Fact tupu
  11. GENDOW

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

    Kama unatoto lako linasoma kalichukue ulileelee mwenyewe nyumbani kama yai, Toto unalipeleka shule, linaenda kuchezea Simu, mnatuharibia tarifa la kesho nyie, mna maneno mengi halafu Kazi hamfanyi,
  12. GENDOW

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Rais Kagame nimpendae kutokana na IQ yake Kubwa

    Acha kupagawa na propaganda za hawa vilaza. Ukiona unakula halafu unakwenda chooni unajisaidia mpaka unamaliza, tena kwaamani jua kunawatu hawalali usiku na mchana ili tuu nchi hii iwe kama ilivyo, hicho kinnchi wanacho kisifia sifia kila uchao, kuna vikundi vya waasi wanao kilimbilia Kongo na...
Back
Top Bottom