Teuzi za Rais Samia kulikoni?

Teuzi za Rais Samia kulikoni?

Western countries zinaendelea sababu haziweki mambo ya dini mbele kwenye kazi
 
Tatizo la watanzania wengi ni unafiki. Wakati baraza la mawaziri la awamu ya tano lilipokuwa na mawaziri 23 = waislam 3 tu, na wakristo 20 mleta mada hakuliona hilo na kulikemea ili lisije kuligawa taifa. Wakati baraza la mawaziri la awamu ya 6 limejaribu tu kuleta angalau kabance kidogo ili angalau kuleta sura ya utaifa badala ya ile sura ya uvatican iliyokuwepo awamu ya 5, mleta mada ndo amekuja chap chap kutetea imani yake, bila kujua kwamba pamoj na mabadiliko yaliofanyika ili kuweka sura ya kitaifa lkn bado baraza la mawaziri, manaibu waziri na makatibu wakuu wengi ni wa amani yake.
Mnaoendekeza huu upuuzi ni wajinga na msio na akili..hata hii utaratibu eti akitoka rais mkristo anayefuata muslamu..ni upuuzi mtupu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna wakristo wema Sana na waislam wastaarabu Sana. Uduni Haina nafasi. Mleta uzi akianza vzr.anaharibu kwenye hili... point muhimu aliyoanza nayo nilianza kumuelewa kuhusu tabia ya kuteua teua. Isitoshe Huwa anapelekewa majina tu. Na ukweli ndio huo wakina mavura walipewa ubalozi Kwa fadhira tu...

Huyu jamaa anaandika Andika upumbavu gani sijui...namjua sana
Hizi ndio unaskia sizitaki hizi mbichi
 
Form four ulisoma wewe mwenye kichwa cha panzi sisi enzi zetu tulisoma madarasa manne tuu yalitutosha sio nyie mnasoma mpaka degree lakini kichwani hamna mjualo ni taka taka tu au debe tupu vijana wengi wa sasa.
Kajiendeleze ww. Wenzio wali soma hadi Degree mwaka 1960s. Sema tu kichwani hakukuwa na kitu uli feli. Ww kanunue mahindi huko Mbeya mkuu.
 
Kajiendeleze ww. Wenzio wali soma hadi Degree mwaka 1960s. Sema tu kichwani hakukuwa na kitu uli feli. Ww kanunue mahindi huko Mbeya mkuu.
Safi kabisa hapa naenda sumbawwnga kukusanya mahindi nije niwauzieni wasomi wa dot com.
 
Acheni mambo ya kitoto, we kama mtendaji mzuri haijalishi ni hamidu au gabriel utateuliwa tu
 
Wakiristu ni wezi mno harafu ni malaya mno bial result oriented.Mama aliniuzi kuteua mbatu kuwa CDF..mama hapa hujatutendea haki
 
Mnaoendekeza huu upuuzi ni wajinga na msio na akili..hata hii utaratibu eti akitoka rais mkristo anayefuata muslamu..ni upuuzi mtupu.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu mbona unanishambulia mimi badala ya mleta mada, au na ww ni miongoni mwa wanaomsapoti mleta mada aliejaa chuki ya udini moyoni kwake?
 
Hii nchi yetu sijajua inaendeshwaje kwa kweli. Kama Taifa hatuna Dira ya muda mrefu. Na kama nchi hatuandai vijana wa kuongoza Serikali na taasisi mbalimbali. Kila Rais mpya ata kuja na wateule wake wapya. Hataondoa vijana bora na kuweka wa ovyo.

Wengine wamepewa tuhuma za uongo ili kuhalalisha tu kuondolewa kwao. Pia, tumeacha taratibu na misingi ya promotion serikalini. Ila tuna ongozwa na milengo ya kisiasa, makundi, ukabila, kujuana, kujipendekeza, nk. Hii kitu tuikemee. China haijengwi hivyo!!

Jambo la pili, ni UDINI katika teuzi. Hivi karibuni iwe nafasi ya juu, majeshi, makatibu wakuu, Wakurugenzi, nk, kupitia page ya Msemaji wa Serikali toka Rais ateuliwe, ame kuwa na tabia ya kuteua Wakiristo ktk nafasi za Mwenyekiti wa Mashirika/Boards na Watendaji wakuu wa taasisi au serikali akiteua Waislam.

Ngazi ya juu kukiwa na mkiristo, mtendaji mkuu wa taasisi hiyo Rais ataweka Muislam. Nina uhakika na hili by 95% nimekuwa nikifuatilia. Hii ni kuondoa Wakiristo ktk utendaji wa Serikali. Sijakupangii ni nani uteue. Ila mm kama mwananchi nina uhuru wa kutoa maoni na ushauri wangu, kwa nia njema ya Taifa langu.

Hii mbegu ni mbaya sana. Isipo dhibitiwa mapema. Tuta ingia baadae kwenye ukabila.

Watu wateuliwe kutokana na Elimu, Uzoefu, utendaji kazi na umahiri wake. Samaki mkunje angali mbichi.
Akina mzee wa Sinde Warioba, Pinda, nk wanaona na wanajua ila wanaogopa kudharalishwa na hutu tu vijana kama akina Makonda, Happi, Sabaya kama mlivyo watumia hapo awali.

Watanzania wenzangu, Tanzania ni yetu sote. Tusiogope kuikosoa na kuishauri serikali kwa maslahi mapana ya Tanzania.
Kwa tarifa tuu mleta maada" Rais ni Taasisi, haongozi nchi peke yake, anapofanya teuzi wakati mwingine analetewa majina na wataalamu wake wengine hata hawajui sana, lakini kwakuwa anao watu wenye weledi pale Ikulu, watu hao sio Islam peke yao, wapo pia christian, lakini pia anao wataalamu kutoka Idara mbalimbali ambao pia wanajua wanacho kifanya, na ndio humsaidia kutekeleza majukumu yako, hongera kwa uhuru wako wa mawazo. kwahiyo ondoa shaka Mkuu Inchi iko Salama hii" hayo mambo ya Kuzingatia dini yaachekwanza.
 
Achana nae huyo mkuu, raisi yuko pale kwa miaka 5 au zaidi, kwahiyo malalamiko yake na chuki zake dhidi ya raisi na dini ya raisi haviwezi kumsaidia kitu chochote kwa sasa. Cha kufanya ni yeye aende vatican kwenye nchi ya wakristo watupu na wanaoongoza kwa kufuata mifumo ya kikristo au aendelee kukaa Tanzania avumilie maumivu anayoyapata. Mwenyew amejionea jinsi watu walivyomshambulia humu kutokana na udini wake. Alijua akiandika pumba zake ndo atapata wadini wenzie wa kumsapoti, badala yake kajikuta mdini yuko peke yake uzi mzima anajijibu mwenyew.
 
nguvu,
Hilo dada limeleta uzi ili tujadiliane kuhusu ule anaoita mustakabali wa taifa letu. Ila ukimuandikia yale asioyapenda hata kama yana mantiki na faida kwa taifa hakujibu anakukwepa. Post yang namb #41 na nyingine #47 hajazijibu zote, badala yake amekuwa akileta vinaneno vya kwenye kanga sijui sijibu maswali yasiofanya nini sijui. Sasa kama hajibu sijui kwanini aliandika hii thread na kutaka ijadiliwe sehem ambayo anajua kuna watu wengi wenye akili na mifano mizuri kumshinda yeye.
 
Najua una akili ndogo. Huu uzi siyo level zako japo una bwabwajabwaja tu na kujiona una akili. Binafsi sikuleta huu uzi kwa akijili ya watoto kama wewe. Najua my message has been sent & delivered to my targeted audience siyo wewe.
 
Back
Top Bottom