Recent content by GENDAA97

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wapinzani Jangwani kurushwa Live na Radio na Televisheni

    itakuwa historia katika nchi yetu!!! tuungane wote tupate katiba ya wananchi all the best wapambanaji....
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nape sasa amtaka Mbowe ajiuzulu

    inabidi walioleta muswada mbovu wajiuzulu kwanza kabla ya kiongozi wa KUB......
  3. G

    JamiiForums Tanzania Dr.Slaa kuitikisa Mbeya mfulurizo kuanzia Chunya leo

    kuendelsa kujenga chama 2015 njia nyeupe!! Sugu lazima atakuwepo, wadau updates muhimu pamoja na picha.... peoples powaaaaa..
  4. G

    JamiiForums Tanzania Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    poleni wakristo wa zanzibar hakika serikali inahitajika kutoa majibu inaonekana ni tatizo sugu zanzibar. wakristo poleni take care kama vpi helment inahitajika kujikinga.....
  5. G

    JamiiForums Tanzania Sijui kama ni ukweli au photoshop?

    duuh ..hii photoshop...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Lissu kapata vyote;CCM yakosa kimoja

    hongera sana kamanda umethihirisha uweledi wako na kulinda heshima ya chama ...mapambano yanaendelea big up!!!
Back
Top Bottom