Recent content by Genchi

  1. Genchi

    Connection ya comoros

    Habar wadau?? Naitwa Genchi naomba msaada wa connection ya kupeleka biashara(nafaka) nchi ya comoro! No ndoto yangu mda mrefu kufanya export na nimechagua comoro kama nchi ambayo inaweza kunivusha! Kwa yyte mwenye connection ya huko naomba msaada wake. Ahsanteni 0683775566
  2. Genchi

    Biashara ya mchele

    Wadau habar? Nimepata wazo la kufanya bishara ya mchele/mpunga. Kama kuna mdau humu anaifanya naomba ushauri ; Je ipi bora zaid Kununua mpunga kuweka store kisha unauza badae? Kununua mchele mkoani na kusafirisha dar kuuza? Au ipi njia nyingine bora ya kufanya hii biashara? Ahsanten kwa wote...
  3. Genchi

    Fursa ya ufugaji nguruwe

    Habar wadau? Napenda kufuga nguruwe ila sina uzoez wowte ndo nataka niingie ktk game! Mwenye experience anisaidia, mbegu bora banda bora.
  4. Genchi

    Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

    Maisha mazuri ni yale yakumtumikia Mungu
  5. Genchi

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Mm napenda na nataman sana kufuga samaki pamoja na kuku!! nikitaka kufuga samaki kuanzia kujenga bwawa inatakiwa niwe na kias gan kwa kuanzia kiwango cha chini?
  6. Genchi

    SoC02 Elimu: Kutoka ufugaji wa kuku kumi na moja mpaka maelfu

    Nan anafuga kuku wa mayai humu ndani wadau? niko interest kufuga hao
  7. Genchi

    Tv inch 50 inahitajika

    Nataka tv LG nchi 50,55. Wauzaji njoo dm
  8. Genchi

    Nissan Serena 4 sell

    Gari inauzwa kwa kutupwa.haina tatzo lolote unawasha na kuondoka. Injin Wala gear box havijaguswa. Bei 5,000,000. Call 0683775566. Karibuni
  9. Genchi

    Car4Sale Gari inauzwa

    Nissan Serena inauzwa kwa Bei ya kutupa mwenyewe kabanwa shida. Injin Wala gear box havijawah guswa haina tatzo lolote unawasha na kuondoka. Bei mil.tano (5,000,000) 0683775566
  10. Genchi

    Plot4Sale Nyumba inauzwa Vikindu

    Nyumba ipo Vikindu pwani, Chumba 3 moja Master, Dinning, kitchen, store, sitting. Bei mil 16 tsh 0683775566
  11. Genchi

    Nyumba inauzwa

    Vikindu pwan,mbele ya mbagala kwa wasiopajua, Chumba 3 moja Master, dinning, kitchen, store, sitting. Price tsh 16 mil. Call 0683775566.
  12. Genchi

    Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    Mil.31 ? Yan Dunia inatushangaa watz kwakwel
  13. Genchi

    Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Mimi sio mwanasiasa ila ni mpenda mabadiliko hasa ktk katiba yetu ya Sasa Mana ina mapungufu mengi na haiendan na mfumo wa vyama vingi. Kosa la Mbowe na wenzake ni nn hadi kuwekwa kizuizini?
  14. Genchi

    Nini maoni yako juu ya uchaguzi Uganda?

    Ukiangalia baadhi ya matukio ya kisiasa Africa utabaki kujiuliza maswali mengi yasiyo na majibu. Baada ya Uchaguzi wetu Tanzania kuleta taharuki nyingi leo wote tunaangazia uganda kinachoendela. Ukiwa kama mdau wa siasa una maoni kuhusu uchaguzi mkuu wa Uganda?
Back
Top Bottom