Nimeelewa hiyo changamoto ya TIN. Just check on TRA watakushauri the best way possible. But I think TIN bado itabaki kwa jina lako watakacho fanya ni kuiwezesha iwe TIN yenye uwezo wa kufanyia biashara sababu TIN ya udereva huwa sio for business purpose.
Maana ya business name ni unakuwa na jina la biashara kama kampuni kabisa na unalisajili Brela. mfano ukisajili "Tanzania Web Consulting Ltd" meaning wewe Lady Ra from that point utakua unafanya biashara kama "Tanzania Web Consulting Ltd" na sio as Lady Ra.
Ni njia rahisi zaidi ya kupata...
Njia rahisi zaidi ni kusajili a business name Brela baada ya hapo utafute TIN kwa ajili ya biashara yako TRA. Sio lazima usajili kampuni kamili - Business name inatosha kama ni biashara ndogo ambayo unaifanya wewe binafsi.
Hatua
- Ingia kwenye website ya brela: https://ors.brela.go.tz/ create...
Unaweza soma makala nyingine nyingi za uwekezaji na ujasiriamali kwenye tovuti ifuatayo: Uwekezaji na Ujasiriamal(Bofya Hapa)
Hatua ni umbali kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine au kutoka kiwango kimoja kwenda kiwango kingine. Mtu ambaye hapigi hatua katika biashara yake ni mtu ambaye...
(Unaweza isoma makala hii na nyingine nyingi za uwekezaji na ujasiriamali kwenye tovuti ifuatayo: Uwekezaji na Ujasiriamali )
ANGALIA UNAPENDA NINI KISHA KIGEUZE KUWA BIDHAA AU HUDUMA.
Kuna idadi kubwa ya watu ambao wamepata mawazo ya kuanzisha biashara kupitia njia hii na hatimaye...
(Unaweza isoma makala hii na nyingine nyingi za uwekezaji na ujasiriamali kwenye tovuti ifuatayo: Uwekezaji na Ujasiriamali )
Changamoto walionayo watu wengi sio kuanzisha biashara au kuanzisha kampuni bali ni kuanzisha biashara gani au kampuni gani,kuna watu wanafedha lakini hawajui wafanye...
Hi, Samahani mkuu nilikua offline kwa siku kadhaa.
Tembelea link ifuatayo ili kuona bei: Pricing | Tanzania Web Consulting ( I hope sio kinyume na terms za kutumia jukwaa hili)
Kwa makala nyingi zaidi za uwekezajia embelea tovuti yetu: Uwekezaji Tanzania ( Bofya Hapa)
SIKU:
Jumanne, May 24 saa 2:30 Asubuhi
MAHALI:
Julius Nyerere International Convention Centre - JNICC
Shabaan Robert St/Garden Avenue, Dar es Salaam, Tanzania
KUHUSU:
Kusudi la kongamano hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.