Kongamano la uwekezaji katika kilimo

gema

Member
May 26, 2011
25
20
Kwa makala nyingi zaidi za uwekezajia embelea tovuti yetu: Uwekezaji Tanzania ( Bofya Hapa)


SIKU:

Jumanne, May 24 saa 2:30 Asubuhi

MAHALI:

Julius Nyerere International Convention Centre - JNICC

Shabaan Robert St/Garden Avenue, Dar es Salaam, Tanzania

KUHUSU:

Kusudi la kongamano hili ni kuwaweka pamoja wadau wote wa kilimo na kujadili nini kifanyike kusaidia vijana wengi kushiriki kilimo biashara

Taarifa zaidi na kufanya booking ,Tembelea tovuti ifuatayo:

https://www.facebook.com/events/1555207961474847/
 
Link haifunguki kule kwenye main website hamkeweka maelezo! I just want to know how can I attend? Who do I contact?
 
Mwandaaji, nategemea mtawaalika pia wakurugenzi wa mabenki mbali mbali kwa ajili kutoa wito kwao watoe mikopo kwa ajili ya kilimo cha kisasa. Lakini pia, mhimu kuwashirikisha watu wa kada zote ili kupanua wigo. Nategemea pia kutakuwepo na watu wa kupresent (oral presentation from professional people not politicians) namna ya kutoka hapa tulipo (current state of art on agricultural sector) kwenda hatua nyingine nzuri zaidi.
 
Back
Top Bottom