[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo hapooo... alishindwa nini kumpeleka tu hospitali aanze pep... ukipata ajali kazini haijalishi kama umeona vidonge au laaa ni salama tu uwahi hospitali.
Asa mnapigaga story gani ukirudi toka kazini? Itakua hauna urafiki mzuri na mkeo... angekua best friend wako lazima tu ungesema unafanya nini kwenye kupiga story.
Mimi namwambia siku yangu imeendaje na anaifahamu kazi yangu kama vile tumeajiriwa wote.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wengi sana wanavaa saa kifasheni tu na sio kwa dhumuni la kucheki muda. Waelewe tu jamani... zaidi ushapata idea ya zawadi ya kumpatia siku ya Valentine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.