Recent content by GEKU MG

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Nasikitika sana na wanaccm, hivi kweli kutamka tanganyika tunaleta ubaguzi lakini kusema zanzibar hatuleti ubaguzi! Kwel
  2. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi Tundu Lissu Alivyojikaanga Kwa "Mafuta ya Taaluma Yake!!"

    Uwezo wenu wa kuelewa na kufikiri ndo umeishia hapo, ndo maana mnanukuu vitu bila kujua chanzo,fuatilieni maoni yake leo
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa Kamati za Bunge: Kilango, Sendeka, Wassira washinda

    Asante kwa kutujuza
  4. G

    JamiiForums Tanzania Compare & Contrast: Hotuba ya Jaji Warioba v/s Rais Kikwete!

    Mi nianze kwa kusikitika na pumba za jk, ukweli ubaki pale pale kuwa tunahitaji kilichopendekezwa na wanachi si kikwete
  5. G

    JamiiForums Tanzania Hivi rais alikuja kufungua bunge maalum au alikuja kuweka msimamo wa chama chake ccm?

    Nashindwa kuelewa kabisa maana rais wa nchi kusema ccm 2nasema hiv na wakati yuko pale kama mkuu wa nchi inasikitisha
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nakupenda Mke wangu

    Najua majibu ni mengi,ila ukwel ni hiv ndoa ni mtihan kila m2 ana stail yake
  7. G

    JamiiForums Tanzania Pagumu hapa

    Labda niwe wa mwisho kabisa kufa kwa hao milion 4
  8. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kuijua CV ya Samson Mwigamba

    Chadema taifa kubwa kama imefikia hatua ya kuunda chama kingine hi kali
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Spika inayompeleka Membe Ikulu na kuzika ndoto ya Lowassa...

    Kwel kusahau ni dk,ccm imebaki ya wazee na kama ni vijana awe ni tahira maana kijana mwenye akili timamu hawezi kuwa hap
  10. G

    JamiiForums Tanzania Level ya Degree na Cheti Vyawa Sawa

    Tamaa ilimua fisi kama uliamua kwenda education.usitake kulinganisha cha mwenzako.kuna m2 alikulikulazimisha? Acha tamaa
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu 36,000 kumwagwa mwaka huu

    Vuteni subira najua mna hamu na mshahara huu wa mawazo na madeni zaidi
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuendelea kufeli kidato cha nne ni nini?

    Nashindwa kuelewa hasa mzimu unaowakabili wanafunzi wa sasa kuendelea kufanya vibaya ktk mitihani yao ya kidato cha nne.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Huu si uungwana waziri wa elimu ajihudhuru kwenye kiti chake

    Nami nakuunga mguu,maana wamezoea hili limefikia mpaka matokeo kidato cha pil wanafichiwa matokeo huku wametoa ada kwel?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu 36,000 kumwagwa mwaka huu

    Haijulikani
  15. G

    JamiiForums Tanzania Njia bora ya kuomba mkopo utumie matokeo ya six au diploma kwa insevirce?

    Nipe jibu ndugu zangu
Back
Top Bottom