Naomba kuijua CV ya Samson Mwigamba

Naomba kuijua CV ya Samson Mwigamba

Cv zao wamefichiana ya mwigamba anayo zitto ya zitto anayo kitila
 
Wewe Kweli hazimo kumbe bado lengo lako mi nilizani unataka Kuchange politics za tz kumbe unataka kushidana na chadema yambafuuuuuu
 
Ana CPA ya uhasibu ndio mana alikuwa mhasibu mkuu wa chadema
apewe uhasibu chadema? unaota wewe, kwani jamaa ni wakule kwetu? Na antony komu alienda wape mpaka aupate huo uhasibu. usirudie tena siku nyingine kuandika hivi
 
Hivi watanzania tuwaamini vp watu ambao ndani ya mwaka moja ameshakuwa kiongozi vyama viwili tofauti? Na yule mwenyekiti wa ACT naye tunaambiwa ni Katibu mkuu wa ADC, kuna vituko tanzania
kama tusivyowaamini mbowe na slaa ambao wote walikua CCM na slaa hajarudisha kadi yake
 
ACT mkombozi wa kweli

Sio ccm tena??? Au unawakombozi wawili.?? Ccm na act teh! Mama na mwana,wanachama wa act ndio hao hao wanachamam wa ccm na hivi vyote ni vyama vya upinzan kwa chadema ..tehtehe kweli chadema chama kubwa .
 
Sio ccm tena??? Au unawakombozi wawili.?? Ccm na act teh! Mama na mwana,wanachama wa act ndio hao hao wanachamam wa ccm na hivi vyote ni vyama vya upinzan kwa chadema ..tehtehe kweli chadema chama kubwa .

Hivi wewe unaujua ukubwa wa chadema??
 
acha kukariri mkuu, wengi wetu tupo ACT kulaani wahafidhina ndani ya chadomo!

Ungetusaidia zaidi wapenda mabadiliko na hasa upinzani kama ungewekeza nguvu nyingi kwenye kuipinga CCM na siyo chama chenzako cha upinzani.Yaani wala haueleweki nia yako kwa hakika.Hebu fikiria ukiwa na nguvu ukapata japo viti 30,CUF 50 na CDM 50 je hauoni kama umepunguza nguvu za chama tawala kuliko unavyopiga debe la kuua vyama vyenzako vya upinzani?Unadhani utafanikiwa?Kumbuka kilichowapata wenzako sijui kama na wewe hautakipata.

Angalia historia ya CUF,NCCR na sasa CDM,ungekuwa mzalendo ungebadilika.Vita vyetu viwe kwa wale wanaotumia madaraka yao vibaya na kuharibu uchumi wa taifa letu na si kwa wapinzani.
 
Mbona watu chadema na bavicha mnamuogopa sana Samson Mwigamba??
 
Chadema taifa kubwa kama imefikia hatua ya kuunda chama kingine hi kali
 
hivi ni kwa nini hawa buku saba wa ccm lumumba wote ni washabiki wa ACT?

Ndo maelekezo waliopewa kwa sasa,ili kuidhoofisha CDM na harakati za mabadiliko nchini kwa maslah ya CCM.Namna ambavyo wana-CCM hawa wanavyoishabikia na kuipamba ACT,ndivyo wanavyojitoa nguo na kuudhihirishia umma wa Watz kuwa chama chao kiko nyuma ya yale yote yanayoendelea CDM,na ujio wa ACT ni sehemu ya mikakati yao kuisambaratisha CDM.
 
mnatafuta CV za watu ziwasaidie nn? Kazi kutaka kujadili watu tu weka yako tuijue na tukuambie mapungufu yako na mafanikio yako kama unayo.
 
Back
Top Bottom