Recent content by gedo

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Samsung galaxy Note 5

    Ninahitaji simu hiyo ,offer yangu ni laki3 cash...npo iringa mjini kabla ya tar.15!mwenye nayo tuwasiliane 0629318661
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji samsung galaxy note 5 kwa laki3 tu

    Mwenye nayo nakaridhika nahiyo bei anichek mapema,pesa ipo cash sema inatoka baada yakuona simu nipo Iringa kwasasa!ni pm tu
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wenye Degree ndo wanaongoza kuwa Single Mothers

    Sure,kazi na Elimu inawapa kibur sana.... Acha wapambane nahali zao mchungaji!
  4. G

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo mara karibu narukwa mzee, serengeti
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

    Poor country,poor people,poor life......Every thing is poor in this country
  6. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mlioingia OLAS ya HESLB

    Asante sana
  7. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mlioingia OLAS ya HESLB

    Unaweza omba mkopo bila kupata matokeo yaform six kweli?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Piga Kura ya Lissu kufunguliwa Mashtaka mapya..

    Raisi wako sio wetu!wetu nanani?post lefuuu afu pumba mtupu
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kituo kipi cha TV kitaonesha Bunge la bajeti litakuwa Live?

    Hili linchi hili kweli nishida,tumebarikiwa kila kitu namwenyez mungu kasoro viongozi,wote mizoga.akili ndogo ndio zinaongoza akili kubwa!
  10. G

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Serengeti hapa karibu natarime....
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nauza galaxy i9152

    250 vipi?weka picha basi tuione mzee
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tecno p5 kwa 80 elfu

    nauza tecno p5 imetumika miezi minne,haina tatizo ktk matumizi ila kioo kidogo kimecrack,nakupa memory 4GB nacharger.....npo Arusha nahitaji pesa fasta.....!picha what's up huku nimeshindwa kuatach.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani, Shilingi inahujumiwa na Mabenki?

    Kwa mara ya kwanza kabisa katika maisha yangu najuta kabisa kuwa mtanzania, taifa la watu wajinga, taifa lisilo na mbele wala nyuma, jambo ambalo hata mtoto mdogo haliwezi kumsumbua eti majitu mazima yanapiga yowe kuwa dola imepanda. Mnataka shilingi ya Tanzania ipande kwenda wapi...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Hali sio shwari Chuo Kikuu cha Dodoma, Polisi waingilia kati kuzima maandamano

    R.I.P udom student,policeccm akili ndogo ukijumlisha bangi=vibaraka wabei rahisi waccm na serekali yao iliyojaa rushwa.kumuua mtoto wawatu ambae wazazi wake maskini wamewekeza kwake aje kuwakomboa niunyama wahali yajuu sana!hii nchi hiii mungu atuepushe kabla hatujaja chinjana kati yawalionacho...
Back
Top Bottom