Recent content by Gedam Chipalile

  1. Gedam Chipalile

    JamiiForums Tanzania Online colleges/universites

    Vipi wakuu...nauliza hapa tanzania ni vyuo gani vinafundisha online...naomba kuvijua kwa maJina if possible
  2. Gedam Chipalile

    JamiiForums Tanzania Bilioni moja ni chicken feed kwa MO lakini...

    Aisee hawa watu(watekaji) unatuvunja moyo ktk kuspeed up kufikia level kubwa...mana sometimes unaweza sema ni bora tu uwe maskin kwa kufikiria unaweza ishi wa amani rather than kuwa na hela mob....mana unahisi ukiwa tajiri msokoto ni kama kawa...
  3. Gedam Chipalile

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo nimalizie ujenzi wa nyumba yangu

    Jamani ninahitaji mkopo usiokuwa na ubabaishaji Kwa ajili ya ukarabati wa nyumba yangu,ni mfanyakaz wa sekta za kitalii Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  4. Gedam Chipalile

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

    Jamani ninahitaji mkopo usiokuwa na ubabaishaji Kwa ajili ya ukarabati wa nyumba yangu,ni mfanya kaz wa sekta ya kitalii Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  5. Gedam Chipalile

    JamiiForums Tanzania Umetongozwa leo na leo leo umevua nguo loh!

    Hivo ndo inavotakiwa,tit for tat...inasaidia kusave time na kuavoid pendings Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom