Recent content by gec

  1. G

    Rais wetu anakera, iweje uwalipe uliowaita majambazi fedha zetu za kodi?

    Sioni sababu za kuwanyima mafao yao walifanya kazi na serikali zilizopita ziliwatambua na kuwalipa stahiki zao
  2. G

    Chelsea FC: Mabigwa wapya EPL 2016/2017

    wale wengine ubingwa wa big 4 vita ndo inaanza Man u msiniangushe
  3. G

    Ni wanawake wangapi utasikia wakihitaji kuzaa tu bila ndoa?

    All in all watoto ndo watakao kuwa affected , watoto wanahitaji malezi ya baba na mama kabla ya kufanya maamuzi angalia pande zote mbili
  4. G

    Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

    Aina ya vyakula dada zetu wanavyotumia + a lot of cosmetics
  5. G

    Lushoto: Mawe yaserereka na kuangukia magari, Nyumba zajaa tope, Majeruhi wapelekwa Hospital

    Tumwombe Mungu atusamehe na atuepushe na majanga kama haya.Poleni sana wanaTanga
  6. G

    TTCL: Fursa kwa Fresh Graduate

    pamoja mkuu
  7. G

    Wana CCM wote mpite hapa, I have something important to tell you guys

    nakubaliana na wewe system ile ile tusitegemee mabadiliko watz tuamkee tafadhali
Back
Top Bottom