Recent content by GDM

  1. G

    JamiiForums Tanzania Jaji Tendwa: Nitaifuta CHADEMA lakini CCM siwezi...

    Demokrasia iko wap sasa?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Lipumba, unalipeleka wapi taifa hili?

    Jaman Tz cjui wanakupeleka wap. Ni longolongo 2 kla kona. Maneno mengiii. Lait kama watz 2ngefunga miaka miwl kutumikia nch ye2, 2ngewazd hata hao super powers. Hz siasa znatuulia nch. Ninaona ni bora atokee dictator 1 mzalendo na mweny akil kulko hz demcrasia za kulaumiana na kupelelezana 2
  3. G

    JamiiForums Tanzania Habari za uhakika kuanzia mwakani elimu ya msingi ni miaka kumi na sekondari ni miwili

    Elimu ni secta nyet wafkr kabla ya kutenda. Siasa na elmu tunaua nch wenyewe
  4. G

    JamiiForums Tanzania Habari za uhakika kuanzia mwakani elimu ya msingi ni miaka kumi na sekondari ni miwili

    Elimu ni secta nyet wafkr kabla ya kutenda. Siasa na elmu tunaua nch wenyewe
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kujenga ukweni.

    mbona ni pouwa tu, tena inapendeza ukjenga wakat mkiwa wachumba ili kudhihirisha mapenz ya kwel. hahahaaaaaaaaaa
  6. G

    JamiiForums Tanzania Radio Imani Morogoro mnakotupeleka hakufai. Mwisho wake mbaya sana!

    samahan kwa wale mnaopost kuwa viongoz wengi waislam mara wengi wakristu, tatzo ni nini? katba yetu inasemaje? kiongozi wa serikali anahusika na serikali ndio maana katiba inasisitiza tu kuwa mgombea lazma awe mtanzania haisemi uislam wala ukristu. mimi naona jambo la muhimu ni kupambana kukuza...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu! Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!

    Sasa bila hoja kuna raha gan ya kuangalia bunge? Bora hy rasilimal yetu itumike kwingine
  8. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania kaeni chonjo,kesho tar 19.01.2013 kusini tunawadhalilisha tena mafisadi

    hv cku janga lolote kubwa lkitokea dar tanzania itakua wap? tupge vta ongezeko la watu mijin kwa kuwapa uwezo wa kutumia rasilimali walzo nazo kwao, sasa zkipelekwa mijn wao watabak huko pembezon kufanya nn?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kwaheri 2012 karibu 2013

    Happy new year frnds
  10. G

    JamiiForums Tanzania Je serikali YA KIKWETE haioni athari ya hizi ISLAMIC DVD huku Kusini kama bomu HATARI?

    uhuru ukzd sana ni kero, dictator itumike kdogo. Sababu ya huo uhuru leo watu wanaitukana srkl, watu wanasambaza chuki et demokrasia, hao waasisi wa demokrasia wenyewe wanatumia dictator wakat mwngne. Srkl lazma ifany jambo juu ya hili. Halafu hzo barabara zetu na stand zmekua nyumba za ibada...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kwa walimu wote.

    tatzo ni sera yetu ya elimu, huwez ukachukua failures ndo wakafundishe taifa la kesho (tutaangamia), ndo maana elmu ya sasa ni tofaut na zaman. Mi naamin mwalim anatakiwa awe m2 mweny akl kupta wengne ktk darasa analosoma. Alaf ikitumika hiyo system ya FUKAMA anaeumia ni serkl au ni nani? 2nazd...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya sensa: Tanzania ina watu 44,929,002!

    :glasses-nerdy: nini ambacho hakfanyiwi sherehe Tz? hapa kula 2 mengne badae
  13. G

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    tena serkali iwapge marufuku wale wanao simamasimama barabaran na kweny v2o vya mabas wakjidai wanahubr, waend kweny maeneo yao ya ibada kwasababu hao ndio wachochez wakuu wa udini TZ
  14. G

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    hlw, wanajamii. mada imenigusa hasa kipengele cha kurudisha mal za wanadin. kwa kwel co sahihi bora watafute mbinu nyingine kwasababu gharama za matbabu, elimu zitakua juu, kumbuka ruzuku za serkali ndizo znazo2peleka kweny shule na hospital za kanisa na misikit. ikiondolewa leo watakaoweza...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Vijana tuchangamke! Tununue ardhi! Tusiiache kwa wanasiasa!

    mh, mwenye nacho ataongezewa
Back
Top Bottom