Recent content by GDK

  1. G

    Natafuta laptop

    Nipo Mwanza kwa muhitaji wa laptop DELL HDD 500GB RAM 2GB..Ni pm..
  2. G

    Mh raisi usipasahau BRELA

    Tena BRELA kaofisi ka Mwanza ni kama kijiwe tu sijui walipewa vp ofisi hapo kwa mkuu wa mkoa bora wangeenda kukaa milimani huko.Jamaa wapo kama hawapo kazini ni kukamilisha ratiba tu.Kuna mtu anaitwa Kobello huyu jamaa majibu yake na customer care utadhani yeye ndo CEO,anaongea ana hearphone...
  3. G

    MSAADA:GUEST/HOTEL NZURI MOROGORO

    Nashukuru sana mkuu naifahamu sana hii hotel na niliwahi lala pale nikiwa Moro ya bwana mmoja alikuwa anafanya CRDB.Ni kweli ni nzuri kwa wao tatizo kabla ya kumaliza saa tisa kikao lazima awe anamyonyesha hapo kati saa nne-tano..(Means awe anarudi).Sasa safari za boda hapo ni changamoto sana...
  4. G

    MSAADA:GUEST/HOTEL NZURI MOROGORO

    Mkuu nashukuru kwa kunidhihaki mimi,dada yangu na anko wangu mdogo.
  5. G

    MSAADA:GUEST/HOTEL NZURI MOROGORO

    Mkuu nashukuru kwa hili wazo.Binafsi si mgeni sana moro ila si mwenyeji nilimgusia Hilux nafaham ni jirani lakini sister ni bahili ameigomea..Ngoja tuendelee kuangalia tutaona itakuwaje.Thanx.
  6. G

    MSAADA:GUEST/HOTEL NZURI MOROGORO

    Nauliza nifahamu zaidi.JJ NA Joverest ni majina ya hotel au inakuwaje wakuu?
  7. G

    MSAADA:GUEST/HOTEL NZURI MOROGORO

    Habari wanajamvi? Kuna dada yangu kaomba nimsaidie kupata taarifa.Ana kikao morogoro wiki moja ukumbi wa SOCIAL oppposite na Hospitali ya mkoa.Atakuwa na mwanae wa miezi mitatu na mfanyakazi(Baby sitter).Ni Guest/Hotel gani nzuri ambayo ni ya heshima(Nikimaanisha ambayo angalau itatunza heshima...
  8. G

    Mwanza: Laptop Toshiba inauzwa na meza na viti vya ofisi

    Wadau niko nje ya Mwanza jumapili nitakuwa nisharudi kuna mtu nimempa zoezi la kunipigia picha hajafanikwa hadi sasa.Tuchekiane Jpili hata Jtatu kwa mwenye mahitaji na ntaweka details zote na picha pia.Laptop 400,000,viti vinne kila kiti 35,000(vipya kabisa)na meza yake 100,000(mpya kabisa.Check...
  9. G

    Mwanza: Laptop Toshiba inauzwa na meza na viti vya ofisi

    Ok mkuu kwa sasa siko navyo hapa.nikiwa tayari naviweka jamvini.Thanks
  10. G

    Mwanza: Laptop Toshiba inauzwa na meza na viti vya ofisi

    Kwa mwenye mahitaji ya laptop aina yaToshiba inafanya kazi vizuri kabisa na viti vinne vya wageni ofisini pamoja na meza yake vinauzwa Mwanza.Laptop imetumikamwakammojaila vitina meza havijatumika,Ni marekebishoya muenekano wa ofisi yamelazimu mauzo haya.Kama wahitaji tuchekiane pm.
  11. G

    Nyumba,viwanja,apartments na estate management-Mwanza

    Kwa wale wote wenye mahitaji ya nyumba za kupanga na kununua,viwanja,estate management na huduma zote za majengo kwa kanda yote ya ziwa.Wasiliana na M&D Logistics Ltd waliopo Mwanza kwa huduma bora na za uhakika.Wana wanasheria watakaosimamia taratibu zote ili kupata kile unachokihitaji kikiwa...
  12. G

    Kubadilishana kituo afisa ustawi wa jamii nitoke geita mjini kwenda nyamagana,ilemela,jiji mwanza

    Habari wanabodi.Natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo,Afisa Ustawi wa Jamii kutoka Geita mjini na mimi niende Halmashauri ya Nyamagana,Ilemela au Jiji mwanza.Hii ni sababu muhimu sana za kifamilia.Mwenye nia hiyo anaweza kuni-PM!
  13. G

    Gharama ya kujenga Swimming pool

    Mita 3 kwa 4 inaweza kuwa ngapi bosi?
  14. G

    Basi la Princess Munaa la Dar - Mwanza ni hatari na nidhamu mbovu

    Mkuu hapa sina hyo tiketi.Ila nilisafiri Jumatano tarehe 11/03/2015. Dereva aliyeendesha toka Mwanza hadi Shinyanga na baadae Dodoma mpaka Dar hafai kabisa. Ndo mwenye matusi ya nguoni. Anamdhalilisha pia dereva mwenzake kwa abiria kuwa hawezi. Unajenga picha gani kwa abiria? Wengi walianza...
  15. G

    Basi la Princess Munaa la Dar - Mwanza ni hatari na nidhamu mbovu

    Ninaongea kwa udhibitisho..kama hujalipanda unaweza pita tu.Usiwe mtu wa habari za vijiweni.
Back
Top Bottom