Recent content by GBL

  1. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kufanya maamuzi magumu kesho. Mnyika awaangukia wananchi

    Dar es Salaam, TANZANIA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli anatarajiwa kufanya maamuzi magumu kesho Jumatatu, Aprili 8 ya kupeleka ama kutopeleka bungeni ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali za nchi hiyo. Mapema wiki iliyopita, Aprili 2, Bunge la...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mnyika ataja vifungu vilivyokiukwa bungeni kumuadhibu Godbless Lema

    Dodoma, TANZANIA. Naibu Katibu Mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, John Mnyika ametaja vifungu vilivyokiukwa na bunge wakati wa kumuadhibu mbunge wa Arusha mjink, Godbless Lema. Mnyika amevitaja vifungu hivyo vya kanuni za bunge leo Alhamisi, Aprili 4, 2019 wakati akichangia hoja...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mlipuko tena Arusha, jeshi la Polisi watuhumiwa

    Sass hili Ni jeshi la kulinda usalama WA raia au kuua raia?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Heslb yatoa mikopo tena

    Hawa wanazingua tu.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu CCM kumbeba Kapuya dhida ya Ubakaji alioufanya, huu hapa...

    Ni vigumu sana kuamini. Lakini kama ni kweli. This is too much.
  6. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibuka kidedea naibu meya jiji la Arusha

    Wamebana, wameachia.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kwa Prof huyu sikushangazwa na hili...Mbona mengine haya hapa hamkuyasema?

    Muda dawa. Ukweli utajulikana.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Uganda yaishutumu Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete juu ya EAC

    Rubbish!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Zitto ni mvurugaji, mpenda sifa. Mara nyingi nimekuwa namshangaa kwa maamuzi anayoyafanya bila makubaliano ya chama. Aliwahi kutangaza na hatimaye akachukua fomu ya kugombea uenyekiti wa cdm bila kushauriana na chama chake. Akatangaza atawania urais bila ya kushauriana na wakuu wenzake katika...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    Tuache ukabila na Udini. Mwenye sifa ndio apewe nafasi, tusiangalie rangi, sura, kabila wala dini.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    Hii ni mbaya kwa taifa. We really need her to be there.
Back
Top Bottom