Recent content by Gazillionaire

  1. Gazillionaire

    Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

    Huyo Mzinzi unaedai umemweka magogoni ni nani? Wewe huwa unamshuhudia vipi mpaka useme ni Mzinzi? Acha kupotosha watu kwa hoja dhaifu za vijiweni.
  2. Gazillionaire

    Camp site for sale at Rombo mashati

    Ni umbali gani kutoka katika kivutio chochote cha kitalii? Hivyo vibanda ni self contained au kuna public toilet and bathrooms? Kuna facilities gani nyingine kwa ajili ya kuhudumia wageni, mf: majiko, dinning hall, n.k ambazo zinaweza kumpatia mtu mwanga zaidi juu ya eneo? Rates za kulala kwa...
  3. Gazillionaire

    Mbao za Mnazi zinauzwa

    Zinatumika kama mbao za kawaida ila zinafaa zaidi kwa fenicha za nakshi, milango ya mapambo na zina sifa ya kuwa imara kuliko mbao za kawaida. Kama ukitembelea Bagamoyo au Zanzibar, utaona kuna baadhi ya majengo yana milango ya mbao za mnazi yenye miaka zaidi ya 100.
  4. Gazillionaire

    Mbao za Mnazi zinauzwa

    Zina urefu wa futi 12 na mnazi umekomaa
  5. Gazillionaire

    Mbao za Mnazi zinauzwa

    Kwa alie na uhitaji wa mbao za mnazi za size mbalimbali kama: 2x2= sh.3000 2x4= sh.6000 2x8=sh. 10,000 Ziko Kigamboni Tungi, mwenye kuhitaji karibu PM.
  6. Gazillionaire

    Nyumba zinapangishwa Kigamboni

    Feni! Happy now?
  7. Gazillionaire

    Eneo la heka 10 mita 50 kutoka chuo cha S.T. Augustine Vikindu Linauzwa

    Hayo nakubali, yalikuwa ni makosa ya mmiliki. Hili nimeconfirm na mita 50 ndivyo ilivyo, nilikuwa huko juzi na hata jana.
  8. Gazillionaire

    Eneo la heka 10 mita 50 kutoka chuo cha S.T. Augustine Vikindu Linauzwa

    Vikindu ni Mkoa wa pwani, njia ya kusini mbele ya Mbagala Kongowe
  9. Gazillionaire

    Kiwanja kinahitajika

    Njoo fancity square meters 1200, kina offer Million 15
  10. Gazillionaire

    Nahitaji Kiwanja haraka Kibada au Kisota-Kigamboni

    Tuangoma kuna square meters 1200 zenye title deed mita 800 kutoka kwenye lami, bei milioni 25.
  11. Gazillionaire

    Nahitaji Kiwanja haraka Kibada au Kisota-Kigamboni

    Naelewa hilo ila vyenye status hiyo viko vingi na sio huko tu, ninavyo vingine viko Mwasonga navyo viko kwenye status ya offer, kwa hiyo usidhani kuwa ni jambo la ajabu saana.
  12. Gazillionaire

    Nahitaji Kiwanja haraka Kibada au Kisota-Kigamboni

    Ndio vyote vina offer na hicho cha milioni 18 kina Title Deed.
  13. Gazillionaire

    Nauza kiwanja chenye hati miliki

    Kwanini uzungumze sana mkuu, kwani wengine hatuna wateja pia, usiingilie biashara za watu? Inawezekana huyu jamaa yuko well connected na ana uhakika na kile anachokifanya ndio maana akasema "hahitaji dalali hata kidogo". Kuuza atauza tu, si unaona anavyoshuka? Akifika kwenye viwango vya...
Back
Top Bottom