Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 3,025
- 8,369
Canp site inauzwa iko Rombo Mashati; ukubwa wa eneo ni 86m by 86m, iko fully furnished. Bei ni Tshs 300million. Call 0754327452 for more details and photos
Canp site inauzwa
iko Rombo Mashati; ukubwa wa eneo ni 86m by 86m, iko fully furnished.
Bei ni Tshs 300million. Call 0754327452 for more details and
photos
Kama kilometa 15 kutoka kituo cha kupandia mlima Kilimanjaro kule rongai....pia kuna ziwa chala japo umbali wake siujui kiuhakika...kila cabin ina room mbili za kulala, sebule pamoja na choo cha kushiriki chenye sink la kuogea(Yale ya kutumbukia)Na choo cha kukaa Na heater ya maji. Cabin moja ina washing machine ya nguo na zote zina vikabati vya kishikaji vya ukutani kuwekea vyombo.Ni umbali gani kutoka katika kivutio chochote cha kitalii?
Hivyo vibanda ni self contained au kuna public toilet and bathrooms? Kuna facilities gani nyingine kwa ajili ya kuhudumia wageni, mf: majiko, dinning hall, n.k ambazo zinaweza kumpatia mtu mwanga zaidi juu ya eneo?
Rates za kulala kwa sasa ni sh. ngapi?
Zanzibar Spices Vp Umeona majibu yangu mkuu?
Ishu ilikuwa ni usimamizi mkuu...! Sikuweza kuwa karibu na Rombo kutokana na majukumu ya kikazi; na hakupatikana mtu mwaminifu ambae angeweza kusimamia hii site Zanzibar SpicesNimekupata mkuu,hembu tuambie kwanini imefungwa kwa muda mrefu?
Sawa Dr.
Hembu tupe website au jina lake ili niangalie kama kwenye travel forum ilikuwa inafanya vizuri.
Kuna jamaa naweza kukupa email yao wakakupigia debe ya kuiweka sokoni
mkuu naona kimya vipi
kwema?
Ahhhhh,nimesahau Masai Dada.
mambo emngi,,maana leo kutwanza nzima nilikuwa