- Thread starter
- #61
Ukifika 10ml niPM
Aaaaaaaaah 10m bado siwezi kuuza bei hiyo.
Ukifika 10ml niPM
Mkuu hakijafka milion 10 bado??
Kwa mtindo huu, ninamuunga mkono Nassari kuwaongoza wananchi wake kujigawia viwanja!hujaona vizur ni 70 miliioni angalia vzr pale juu mkuu
Mkuu umeisha uza? Unasema
dalali hatakiwa, watu wanakuleteaje wateja upate pesa watoke patupu?
Mimi ninao wateja.
Anzisha uzi wako ujitangaze sio kwenye uzi wa mwenzio.Wakuu pia anayehitaji viwanja goba kwa bei tofauti kulingana na ukubwa, kuanzia 800 sq m2 hadi 2,800 sq m2. Viwanja vipo karibu na njia panda ya barabara inayotoka masana hosp kwenda mbezi na barabara ya kwenda kiwandani wazo.
Bei inaanzia mil 15 hadi mil 48
viwanja vipo kwenye process ya mwisho kupata offer wizara ya ardhi ni vizuri na vikubwa sana, barabara ni pana za kutosha
eneo linaonekana kwenye ramani kuwa ni eneo la makazi ya watu
kwa maelezo zaidi aliye serius please ni pm
walete tu wateja tutaelewana.Mkuu umeisha uza? Unasema dalali hatakiwa, watu wanakuleteaje wateja upate pesa watoke patupu? Mimi ninao wateja.
Hizo ni siasa mkuu ardhi ina sheria zakeKwa mtindo huu, ninamuunga mkono Nassari kuwaongoza wananchi wake kujigawia viwanja!
Wakuu pia anayehitaji viwanja goba kwa bei tofauti kulingana na ukubwa, kuanzia 800 sq m2 hadi 2,800 sq m2. Viwanja vipo karibu na njia panda ya barabara inayotoka masana hosp kwenda mbezi na barabara ya kwenda kiwandani wazo.
Bei inaanzia mil 15 hadi mil 48
viwanja vipo kwenye process ya mwisho kupata offer wizara ya ardhi ni vizuri na vikubwa sana, barabara ni pana za kutosha
eneo linaonekana kwenye ramani kuwa ni eneo la makazi ya watu
kwa maelezo zaidi aliye serius please ni pm
Weka namba mkuu..