Recent content by gazi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa atoa pole kifo cha Celine Kombani

    Lowasa anastahili kuw rais. Pamoja na Celina kombani kumsema vibaya lowasa but lowasa hajachukia. Celina aliwahi kumkashifu lowasa kwa maneno hay: BORA AMEONDOKA ASITUFIE SISI AKAWAFIE CHADEMA
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2010 Bulembo aligombea Udiwani akakosa

    Alishinda uenyekiti wa wazazi kwa kununua watu yani rushwa hana ushawishi wa kisiasa huyo ndo mana anapwaya jukwaani
  3. G

    JamiiForums Tanzania Naomba vyombo vya Dola kuwa makini na usanii mpya wa kuchangia Lowassa

    Mchezo mchafu kwani umeibiwa? Kinawauma nn tangu lini fundraising vyombo vya dola vikaingilia kati? Mbona mnahaha sana nyie mafisisim? Tulieni tuwanyonye nyie si mmejazana kila kona kula rushwa?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ni mikoa ipi hadi sasa ni ngome ya CCM??

    Hakuna ngome ya kujisifia ccm kwa sasa
  5. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: Lowassa akikatwa jina CCM, atangaze mali zake ajiunge ACT-Wazalendo (audio)

    Kwani yy zitto alitangaza Mali zake alipofukuzwa na chadema kujiunga act?
  6. G

    JamiiForums Tanzania ITV jamani, mmenunuliwa?

    Makamanda watangaze wasitangaze moto hauna wa kuuzima acha uwaunguze maccm njaaa
  7. G

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya kuperuzi JamiiForums BURE

    Aliiba kiasi gani mbona hamkitaji?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Cleopa Msuya: Potelea mbali huyu fisadi anayedaiwa kugawa pesa ili apate URAIS lazima afukuzwe

    Mzee msuya acha ilopokaji kwani ccm tunawafaham hamnauwezo wa kufukuza mafisadi mafisadi yanafukuzwa na chadema tu
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hivi Kwanini Tanga, Pwani Dodoma, Morogoro na Iringa wanaipenda sana CCM

    Mikoa uliyoitaja inasumbuliwa namambo yafuatayo: ujinga, umasikini na uzembe. Kwa hizo zababu ccm imeweza kujifanyia makolon yake kazi yao ni kunywa kahawa na kuombaomba kitu ambacho ccm inawatumia kama mtaji hawa ni Tanga na Dodoma kwa upande wa moro na iringa kwa ss sio makolon ya ccm tena mkuu
Back
Top Bottom