Lowassa atoa pole kifo cha Celine Kombani

Lowassa atoa pole kifo cha Celine Kombani

Mkuu habari yako? Kwanini mlimteua Marhum huyu kugombea nafasi ya ubunge ilhali afya yake haikuwa thabiti?

Mungu amlaze anapostahili!

Poleni watanzania kwani huyu mama alikuwa anaumwa? Ushauri tu kwa serikali wawe wanatutangazia basi wananchi hata wakiugua tuwaweke kwenye maombi sio kututangazia misiba tu maombi ni silaha kwake yeye aaminiye.
 
Lowasa anastahili kuw rais. Pamoja na Celina kombani kumsema vibaya lowasa but lowasa hajachukia. Celina aliwahi kumkashifu lowasa kwa maneno hay: BORA AMEONDOKA ASITUFIE SISI AKAWAFIE CHADEMA
 
Lowasa anastahili kuw rais. Pamoja na Celina kombani kumsema vibaya lowasa but lowasa hajachukia. Celina aliwahi kumkashifu lowasa kwa maneno hay: BORA AMEONDOKA ASITUFIE SISI AKAWAFIE CHADEMA

Yeyote amtamkie kifo mwenzake, basi ni yeye atatangulia kuionja mauti, amini amini nawaambieni, yeyote amtakiae mwenzio uzima, basi atauonja uzima wa milele. Nawatakia uzima na afya tele wadau
 
Lowassa ana sifa zote za kuwa Rais wa nchi...
Wengine wote hawakujiandaa na hawafai!
 
1443168705767.jpg 1443168725314.jpg rip
 
Kuna wazee kule Mombasa nasikia picha hii wanainunua kwa bei mbaya sana sijui ni kwa nini! Mwenye kujua anifahamishe tafadhali maana mambo ya Mombasa siyajui mie.
Hehehehe nilitaka kukupa majibu kwanini picha hiyo inagombaniwa huko mombasa, lkn acha nikae kimya maana magamba watakuja juu sana
 
Tunajua kuwa makufuli anaizungukia Tz kwa usafiri wa barabara,na humo jiani lazima huwa anachimba dawa.Je ikitokea akapitiwa na kifalu,Lowassa ataapishwa?
 
Lowasa ana utu sana sijawahi kuona. Licha ya kutukanwa kudhihakiwa, kudhalilishwa na hata marafiki zake zake wapenzi km kina msukuma na wanaccm km kina mwigulu lusinde kikwete na wengine lakini hajainua mdomo wake kujibu matusi na dhihaka hizo! Huyu mtu naamini takuja kupewa tuzo ya heshima ya UTU. Mtu mwenye roho ya utu busara na uvumilivu zaidi Tanzania ni Edward Ngoyai lowasa. Nimejifunza mengi sana kutoka kwa Lowasa ktika kampeni hizi za uchaguzi. Huyu mtu si binadamu wa kawaida kabisa. Huyu aliyekufa, juzi tu alikutakia kifo wewe lakini leo unamsemea vizuri bila kinyongo chochote!
 
Yeyote amtamkie kifo mwenzake, basi ni yeye atatangulia kuionja mauti, amini amini nawaambieni, yeyote amtakiae mwenzio uzima, basi atauonja uzima wa milele. Nawatakia uzima na afya tele wadau
Niliwahi kuambiwa hbr ya wagonjwa wawili walikua wamelazwa hospitali moja kanda ya ziwa mmoja alikua hoi hajitambui anakoroma hakuwa na ndugu hivyo alikua akitoa harufu.Mwenye nafuu alienda kutembelewa na huyo mtu alieniambia kisa hicho yule mgonjwa wake (mwenye nafuu) alimwambia 'Tutoke nje tukaongee huyu mgonjwa ananuka yuko hoi sijui ht kama saa 11 itafika (ilikua saa 10.30 jioni) Ajabu yule mgojwa mwenye nafuu alikufa usk ule ule aliyekua anakoroma yupo mpk leo.NAWASHAURI MNAOTAKA KUINGILIA KAZI YA MWENYEZI MUNGU MUACHE.
 
Lowasa Mungu akujalie afya njema...unamoyo wa kipekee sanaa...hakuna mwanasiasa mwenye moyo wa kuvumilia kama wako..umetukanwa matusi yote, umedhihakiwa, umenyanyapaliwa na uchafu wa kila aina lakini hujawahi fungua mdomo wako kujibu wala kuwasemea vibaya....nasema tena Mungu akutie nguvu na afya njema.....
 
Back
Top Bottom