Recent content by Gayden

  1. G

    Tatizo ni nini unapogundua mpenzi wako anakusaliti na ukimuacha hataki?

    Unadhani kama waeza mbadilisha huyo ? Wajidanganya sana ndugu. Chamcngi jibadilishe wewe.
  2. G

    Mbegu ya pinecone yenye siri kubwa na dunia

    Sawa ngoja atoe ukrsto aseme baba wa ukrsto
  3. G

    Wakenya, naskia kuna Wakurya na Wachaga upande wa Kenya, can you share with us your views on them?

    Pia tz kuna wakamba wameru nao pia wako pande zote mbili. Kuhusu wachaga kenya hakuna ila wataita wanatabia zakichaga na luga yao nikama kichaga. Wapare nadhani wapokenya pia.
  4. G

    Ni njia gani nzuri yakupanga uzazi yenye uhakika wasilimia miamoja ? Jee kondom yaweza kuwa nauhakika wa asilimia mia moja?

    Asante kwaushauri naomba kuuliza zaidi kuhusu hikikitanzi naona kama chaweza kuwa chema zaidi kwasababu hakina vichocheo au lamda kwawezakuwa na shida ambayo mimi siijui kuhusu kitanzi? Nijuze kama unauwelewa nacho plz.
  5. G

    Ni njia gani nzuri yakupanga uzazi yenye uhakika wasilimia miamoja ? Jee kondom yaweza kuwa nauhakika wa asilimia mia moja?

    Waungwana wasalaam kwenu ebunaomba kujuzwa hilijambo nisilo lielewa sana kuhusu mpango uzazi. Najua kuna njia nyingi sana ila nahofia madhara kwabaadhi yanjia nyingine mfano za vitanz shindano nk. Nataman kutumia kalenda nasiku ninazo zishuku nitumie kondom sasa hapa ndipo napatashaka kuhusu...
  6. G

    Fahamu gunduzi kubwa zilizoanza kuvumbuliwa Afrika (Misri) kabla ya Wazungu

    Hivi nikweli mpaka leo mwili wa farao upo?
  7. G

    Hivi hizi habari kumhusu huyu mzungu ni za kweli?

    Habari imekaa kitetezi sana ila meno kung'ooka niutetezi wambwa.
  8. G

    Hujuma kubwa ajira za Serikali ya wanyonge

    Wanyonge sindo hao uvccm?
Back
Top Bottom