Tatizo ni nini unapogundua mpenzi wako anakusaliti na ukimuacha hataki?

Kunguru hafugiki..

Niliwahi kua na demu kumbe bwana yule demu ana mtu wake hadi kwao anajulikana na alikua akijifanya mtu wa dini kweli..siku hiyo niko zangu kwenye mishe mishe napokea simu ya mtu nisiyemjua ndo jamaa ake anaongea kwa uchungu kakauta mawasiliano yetu kwa demu wake tukaongea nikamwambia poa baki na huyo demu.

Mimi nilichofanya nilivunga sikumchana wala nini demu ila mwenyewe alijishtukia akaanza kunisumbua nimsamehe mimi nikaza..kwa hasira yule demu akahamia kwa mshikaji wangu na anagonga mpaka leo na mbaya zaidi wakati nipo na yule demu ana rafiki yake akamkonekti na rafiki yangu so tukawa kama pacha mimi na jamaa angu tunakula mtu na besti yake.Tulipoachana hakujali hilo akahamia kwa rafiki yangu ina maana anamsaliti shoga yake na jamaa yake tayari ameshatoa mpaka mahari na lilivyo bwege watu wana gonga sana na linafuamania sana linabaki kulialia.MIMI NA RAFIKI YANGU TULO PISI KAMA KAWA HAKUNA MATATIZO MAANA TUNAJUA DEMU KICHAA JAMAA ANAJILIA TU

KWA HIYO BWANA MDOGO USILETE USHUJAA KWENYE MAPENZI HUYO AFUGIKI UTAPATA MATATIZO SHAURI YAKO
Asante kwa ushauri
 
Mambo niaje wajuba wa JF

Of course mimi ni kijana wa age ya 25 nipo na manzi yangu namkubali namkubali kupitiliza lkn sasa yeye ni single maza. Tuna mwaka mmoja tu tangu tuingie kwenye mahusiano na lengo hasa ni kuoana lkn kadri siku zinavyozidi kwenda naona Mambo mengi Mara anachat na wahuni wasap na fb Mara anatuma picha zake kwa watu hawaeleweki lkn nampenda bado na namkubali namuonya na anaomba msamaha na ana ahidi kutorudia.

Juzi Kati nkamnasa akiwasiliana na muuni mmoja fb ikabidi ni give up na kumuacha lkn hakukubali alilalamika sana na hakukubali nimuache aliomba kila Aina ya msamaha na badae ikabid nirudishe moyo kwa vile pia tumezoeana. Simuamini kiufupi mpaka Sasa iv ninae lkn Sina Imani nae natamani ata abadilike tuendelee na maisha ya furaha lkn anaweza kukujibu short anavyotaka na Mambo yake akayafanya Siri Siri tu.

Mpaka hamu ya sex na Mimi Hana anadai hapati hamu ya kusex siku iz sijui Kama ni kweli au Kuna muuni anafanya yake yani naumia kiukwel Mana nampenda sana na hata ikifikia hatua ya kusema namuacha Sina raha nakosa amani kabsa na kiufupi sijaweza ata kumuacha. Nawaza sana juu ya mwanamke wangu nampenda sana lkn siku iz amebadilika uaminifu hamna tena nna mpango wa kumuoa lkn naona Kama hamna ndoa tena.

Ushauri wako ni muhimu pia Mana tunazidiana uzoefu katika mapenzi wengine wapo kwenye ndoa tusaidiane katika hili wadau.
Wewe ni kabila gani tuanzie hapo kwanza
 
Kwanza kabisa nimekutoa kwenye list ya Alpha male.

Inaonekana wazi ww na huyoo manzi maisha yako ndo yenye dhamani zaidi kuliko huyo mwanamke. Kwanza agr yako bado ni kijana mdogoo ambaye kwa umrii huo unabidi ukomae na kupambana zaidi katika kusaka pesaaa kuliko kulilia mapenzi. Hiv huoni hata aibu unavyo kazana kulilia mwanamke ambaye kwanza anaonekana wazi yeye mwenyewe ajitambui na licha ya hvyoo humwamini, then dear brother what's are you waiting there.....?

Fanya mamuzi kama mwanaume kwa umri wako saiv unavaa uweke nguvu zako kweny kusaka pesaa na pia mtangulize mungu mbele habari za huyo mwanamke ambaye kashazalishwa huko achana naye mapema maan am sure hapo na yy ashajua wazi ww ni boya lake na kwake huwezi chomoka kbisaa.

Vunja line sajili nyingine then focus na kutafuta pesa mda mwafaka wa ww kupata mwanamke bora ukifika mbona watajisogeza tu na ww utachagua unaye mtaka mzeeh baba
 
Asante kwa ushauri wako
 
Mambo niaje wajuba wa JF

Of course mimi ni kijana wa age ya 25 nipo na manzi yangu namkubali namkubali kupitiliza lkn sasa yeye ni single maza. Tuna mwaka mmoja tu tangu tuingie kwenye mahusiano na lengo hasa ni kuoana lkn kadri siku zinavyozidi kwenda naona Mambo mengi Mara anachat na wahuni wasap na fb Mara anatuma picha zake kwa watu hawaeleweki lkn nampenda bado na namkubali namuonya na anaomba msamaha na ana ahidi kutorudia.

Juzi Kati nkamnasa akiwasiliana na muuni mmoja fb ikabidi ni give up na kumuacha lkn hakukubali alilalamika sana na hakukubali nimuache aliomba kila Aina ya msamaha na badae ikabid nirudishe moyo kwa vile pia tumezoeana. Simuamini kiufupi mpaka Sasa iv ninae lkn Sina Imani nae natamani ata abadilike tuendelee na maisha ya furaha lkn anaweza kukujibu short anavyotaka na Mambo yake akayafanya Siri Siri tu.

Mpaka hamu ya sex na Mimi Hana anadai hapati hamu ya kusex siku iz sijui Kama ni kweli au Kuna muuni anafanya yake yani naumia kiukwel Mana nampenda sana na hata ikifikia hatua ya kusema namuacha Sina raha nakosa amani kabsa na kiufupi sijaweza ata kumuacha. Nawaza sana juu ya mwanamke wangu nampenda sana lkn siku iz amebadilika uaminifu hamna tena nna mpango wa kumuoa lkn naona Kama hamna ndoa tena.

Ushauri wako ni muhimu pia Mana tunazidiana uzoefu katika mapenzi wengine wapo kwenye ndoa tusaidiane katika hili wadau.
kijana hapo unabidi utambue kua ww ni mwanaume na ufanye maamuzi sahihi, tatizo la wanaume wengi siku hizi tunafanya maamuzi kwa kutumia hisia badala ya principles, Mungu alimuumba mwanaume kua kiongozi na kila mwanaume anazaliwa na traits za uongozi ndani yake, na kila kiongozi ili afanikiwe ni lazima atengeneze principles za kumuongoza ili ziwe kama taa ya miguu katika safari yake ya uongozi.na principle hzo zinatakiw azimfanye aishi maisha ya furaha na amani, na kila atakae shindwa zifuata hizo principles basi anakua hana uwezo wa kuambatana nae, so nature ina mdrop out kwenye circle yake.
kiufupi naakushauri tu, usitumie emotions na feelings coz hua zinabadilika na muda na mazingira pia, so tumia principles zitakazo kuweka huru.
NAWASILISHA......................
 
Wewe ni zezeta a.k.a nice boy nyie ndo wanawake wanawataka baada ya kugongwa weeeee wakiisha utamu basi wanajipumzisha kwa zezeta moja km wewe huku wanaendelea na umalaya taratibu taratibu....

Sisi wengine kitendo cha kuku chat tu za mwanaume mwingi ambazo hazieleweki tyr mahusiano yanavunjwa tunatongoza mzuri zaid, bora zaid ila loser km wewe hata ukiachana na huyo mwanamke utaenda wapi?kutongoza hujui!mwanamke gani atakukubali?baki hapo hapo ufe na ukimwi uanze kulia lia humu

Once a bitch ,a bitch.Simple
😀😀😀😀
 
huyo demu mchawi tena si kidogo!!! km hauko njema mwilini hapo huchomoi!! huko mbele utampikia. na vidume vitakuja hapo kwako na kuambiwa ni shemeji zako muda ni sasa potea vumilia hivohivo!

halafu machejo unampa vizuri
 
Hivi ukimwacha huwa unamwambia sikutaki tena?? fanya hivi we mkaushie tu, usipige simu usipokee simu zake, usitume sms wa ku reply zake,mkwepe kila akitaka kuonana na wewe jiweke busy... kama mwanamme lazima uwe na maamuzi usijifiche kwenye kivuli cha "namuonea huruma"
Hajui kutongoza nani atamkubali wakati hajibu sms, hawezi kutopokea simu, hawezi kutokumpigia simu
 
Yan binaadam bhana we unashauriwa kuwa uyo si wakuoa ama kukaa nae na umeshaziona dalili,ushauriwa nawatu kuwa acha utumwa wa kifrika kwa kung’an’gania hali yakuwa hapo hakuna mapenz zaid yakujuta baadae na kuumuia unashauriwa unafanya tena kumpa defence et hatok na mzaz mwezie anatoka na washkaj iv kweli ni akili ikiwa anauwezo wakutoka na washkaj ndio atakosa kuacha kutoka na mzaz mwenzie,kuna Wakat flan inabid utumie akili zaid kuliko hisia zako ambazo ni matamanio ya muda na kuharibu msing wa maisha yako yote,what u think u become.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom