Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,646
- Thread starter
- #61
Ni kisa cha kweli kabisa. Sijaleta uongo humu.Mzungu kaamua kuyaondoa Meno ya mswahili yaliyokua yakitafuna nyama!
Hiki kisa hata kama sio cha kweli ila kwanini mtu unakua sio muaminifu? kama ulikua na shida si ungemwambia huyo mzungu kuliko kumtesa Mbwa wake? uaminifu ni mtaji mkubwa sana katika maisha,tujaribu kua waaminifu na tuache tamaa zakijinga ambazo ni za muda mfupi tu.