Recent content by Gavin Mrope

  1. Gavin Mrope

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nchi ya marekeni namaanisha USA
  2. Gavin Mrope

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Zao la bangi ni ruksa America
  3. Gavin Mrope

    Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

    Basi tufungukie na Sisi mkuu, mbona wewe kakufungukia alafu bado umepiga kimya mkuu, kizur share na nduguyo
  4. Gavin Mrope

    Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

    Mkuu bado hujanijibu, nahisi Itakua umenisahau au umechanganya na ulokwisha wajib, ila Mimi Bado mkuu, nm
  5. Gavin Mrope

    Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

    Mliopewa connection na orodha ya bidhaa mbona mpo kimya, wala hamsemi kitu
  6. Gavin Mrope

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Habari mkuu, naomba kuuliza. Hivi mashine nzuri za kutengeneza lambalamb/ice-cream hizi za Miamia his zinauzwa wap? Au hupatikana maeneo gani? Mimi nipo Dar temeke @ cleverman324
  7. Gavin Mrope

    Fahamu degere wanavyoweza kukutoa haraka kimaisha

    Shukran Kwa mwongozo mkuu, na vipi kuhusu vipindi vya Hali ya hewa hasa kipindi cha mvua, je ni miezi gani huwa biashara inakua vizuri sana, au haijalishi msimu?
  8. Gavin Mrope

    Fahamu degere wanavyoweza kukutoa haraka kimaisha

    Mkuu vipi gharama za vyumba vya kupanga Kwa huko?
  9. Gavin Mrope

    Jifunze kutengeneza lotion nzuri kwaajili ya ngozi

    Mkuu Yna2, VP upatikanaji wa hizo ingredients, ni maeneo gani ni rahis kuzipata??
  10. Gavin Mrope

    Tatizo la kuzidiwa (homa) Kali nyakati za usiku

    Naomba kujua mkuu, Kwan typhoid inapelekea kukohoa, jasho jingi na uzito kushukaa?
  11. Gavin Mrope

    Fahamu degere wanavyoweza kukutoa haraka kimaisha

    Kwahiyo mkuu, cha kuzingatia ni bei wakati wa kununua?, na vipi kuhusu wauzaji, unanunua direct Kwa Wavuvi au kuna utaratib mwingine??
Back
Top Bottom