Recent content by Gaston Nchimbi

  1. Gaston Nchimbi

    Mwanzoni Wapinzani walisema tutapelekwa 'MIGA Court' kwa kuwapa deni ACACIA, sasa wanasema tunalipwa kidogo

    Hakuna kitu kama hicho watanzania wamebadilika xaxa,wanajua Ukweli na uongo, upinzani una faida xana.
  2. Gaston Nchimbi

    Lissu kuwasha moto Nairobi, Joto lapanda kwa wahusika

    Hapo patakuwa patamu wabaya waumbuke.
  3. Gaston Nchimbi

    Udanganyifu unaofanywa kwenye michezo ya kubahatisha na kamari

    Bora mikeka ya mpira mana dk 90 zikiisha unajua.
  4. Gaston Nchimbi

    Dhana ya "kumbemenda mtoto"

    Kama mtoto anachelewa kuongea na kutembea wakati umri umefka inatokana na nini?
  5. Gaston Nchimbi

    Waraka wa Bashir Yakub: Tundu Lissu japo unaumwa lakini umeshindwa

    Lissu ndio mwenye mtazamo chanya ciku zote.
  6. Gaston Nchimbi

    Lazaro Nyalandu: Nitapeleka muswada binafsi kurudisha mchakato wa katiba ya Warioba ili tupate katiba mpya

    Nyarandu upo vzr xana iokoe Tz kupitia katiba ya Warioba,ci katiba waliochakachua wakapitisha ili kuikandamiza nchi.
  7. Gaston Nchimbi

    Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

    Lissu ndiyo Rais wetu 2020
  8. Gaston Nchimbi

    Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

    Lissu ndiyo raisi wetu 2020
  9. Gaston Nchimbi

    Wadada: Usidate na wanaume wenye majina haya..

    Bado Gaston Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Gaston Nchimbi

    Mungu baba bariki siku hii ya leo nimpate yule ulieandaa kwa ajili yangu (mume)

    Unaishi wap Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Gaston Nchimbi

    Mungu baba bariki siku hii ya leo nimpate yule ulieandaa kwa ajili yangu (mume)

    Utapata ucjar Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Gaston Nchimbi

    Serikali yatoa maelekezo ujio wa ndege ya Askofu Gwajima

    Shida ya nchi yetu ni wivu tuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Gaston Nchimbi

    Nakujibu mwanasheria Halima Mdee kama nilivyomjibu David Kafulila

    Hana cha kujibu huyo anaonekana anatetea kibarua. Maisha ya watanzania ni magumu hata haielezeki.Halima yupo sahihi. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Gaston Nchimbi

    Naiomba serikali, chonde chonde imuhifadhi Tundu Lissu kwa muda kidogo, hali si shwari uraiani

    Acha kutuandikia uongo wako Lisu anakubalika kila kona ya Nchi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom